Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

Ni busara kukaa kimya wakati mwingine ili kuacha shaka juu ya upumbavu wako kuliko kufungua kinywa chako na kuondoa hata ile punje ya shaka ya kuwa upumbavu.

Kanzu ni vazi tu na si uwakilishaji wa kidini kama unavyotaka kumaanisha, hivyo hakuna maigizo bali usahihi wa vazi husika kwa hafla/shughuli husika. Ingekuwa kichekesho endapo angevaa tracksuit ama kipensi ikiwa amekwenda msibani.

Siku nyingine tafakari kabla ya kuandika.
Alitaka avae nguo za kihuni kama alizovaa Makonda kipindi Cha msiba wa Mzee mengi
 
Alitaka avae nguo za kihuni kama alizovaa Makonda kipindi Cha msiba wa Mzee mengi
Vazi lile la Makonda kwenye Msiba wa Mengi lilitufanya tuanze kuchunguza chanzo cha kifo cha Mengi
 
Back
Top Bottom