Ni busara kukaa kimya wakati mwingine ili kuacha shaka juu ya upumbavu wako kuliko kufungua kinywa chako na kuondoa hata ile punje ya shaka ya kuwa upumbavu.
Kanzu ni vazi tu na si uwakilishaji wa kidini kama unavyotaka kumaanisha, hivyo hakuna maigizo bali usahihi wa vazi husika kwa hafla/shughuli husika. Ingekuwa kichekesho endapo angevaa tracksuit ama kipensi ikiwa amekwenda msibani.
Siku nyingine tafakari kabla ya kuandika.