Pre GE2025 Freeman Mbowe ameamua kumwaga sumu ya ukabila mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe pamoja na swaiba wake Godbless Lema wameamua kumtukana hayati Magufuli kwenye ziara zao mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro huku wakimwaga sumu hatari ya ukabila!
Mbowe amesikika mara kadhaa kwenye mikutano yake akiwaambia watu kuwa kipindi cha awamu ya tano kabila la wachaga walinyanyasika sana ikiwemo wote kufukuzwa kazi na kufilisiwa biashara zao. Mbowe anasema mchaga ili apate kazi kwenye kipindi cha Magufuli ilimlazimu kubadili jina lake kutoka la kichaga kwenda la kabila jingine!. Kumbuka tuhuma hizi nzito na mbaya Mbowe anazimwaga bila ushahidi wowote na vyombo vya dola hazimchukulii hatua yoyote kama vile kumfungulia kesi ya ugaidi kwa kuwachonganisha watanzania.
Je ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifukuzwa kazi?

Je ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifilisiwa biashara zao?

Mwl Nyerere alishawahi kuonya kuwa mwanasiasa yoyote aliyefilisika sera kichwani huwa anatafuta uuwangwaji mkono kupitia ukabila, dini na rangi.

Je kwa kauli hizi za Mbowe inashiria amefilisika kichwani? Kwamba akijibanza kwenye ukabila ndiyo atashinda ubunge tena? Yetu macho.
Hilo la kuchukiwa wala hamsingizihi ni kweli marehemu alibagua wachaga na hata sasa wachaga wanabaguliwa na kuonekana kubwa ndiyo wameharibu nchi kwa maana. Bado mnamwaga sumu kubwa mchanga hafai kuwa rais mara nyerere alisema kumbe hata baba wa watu hakusema hivyo jamii kubwa ya kitanzania imeingizwa kasumba kubwa mchanga ni mtu mbaya lakini sio ni jamii iliyojitambua na hawana ukabila na wanauwezo wakiishi popote duniani na wamezagaa sana na nimekaa nao wanapenda maendeleo sana
 
Mwanamme haogopi kusema ukweli ila mwanamme wa kweli ni yule anasema mbele ya adui yake sio unasubiri mtu amekufa miaka mitatu nyuma ndio unapanda jukwaani kumsema huo ni upumbavu hata mwanamke hawezi kufanya hivyo. Nchi hii tusipende kuiga mambo ya nchi za jirani hapa tuweke sheria moja kwa wote, mtu yoyote akileta siasa za ukabila na dini apigwe chini haraka, tupishane kwa hoja na sera tu ni nzuri kwa Taifa letu lakini ukianza kuleta ukabila huna nafasi Tanzania kwa hili jamani tulikemee kwa nguvu pamoja.
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe pamoja na swaiba wake Godbless Lema wameamua kumtukana hayati Magufuli kwenye ziara zao mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro huku wakimwaga sumu hatari ya ukabila!
Mbowe amesikika mara kadhaa kwenye mikutano yake akiwaambia watu kuwa kipindi cha awamu ya tano kabila la wachaga walinyanyasika sana ikiwemo wote kufukuzwa kazi na kufilisiwa biashara zao. Mbowe anasema mchaga ili apate kazi kwenye kipindi cha Magufuli ilimlazimu kubadili jina lake kutoka la kichaga kwenda la kabila jingine!. Kumbuka tuhuma hizi nzito na mbaya Mbowe anazimwaga bila ushahidi wowote na vyombo vya dola hazimchukulii hatua yoyote kama vile kumfungulia kesi ya ugaidi kwa kuwachonganisha watanzania.
Je ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifukuzwa kazi?

Je ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifilisiwa biashara zao?

Mwl Nyerere alishawahi kuonya kuwa mwanasiasa yoyote aliyefilisika sera kichwani huwa anatafuta uuwangwaji mkono kupitia ukabila, dini na rangi.

Je kwa kauli hizi za Mbowe inashiria amefilisika kichwani? Kwamba akijibanza kwenye ukabila ndiyo atashinda ubunge tena? Yetu macho.
Huna evidence, huna video? Nani ataamini maneno yako mr politician?
 
Hakumaanisha ikulu kwakweli sumu ya kubaguliwa ilioteshwa kwa hiyo jamii mbowe hajasema uongo nakumbuka mwanzo wa marehemu alivyoapishwa tu alichagua nafasi za makatibu wakuu wote hakuchagua mchanga hata mmoja watu tuliokuwepo wote tukashanga waanza kusema hajawahi kutokea akosekane huko hata mmoja wakasema huyu rais kuna kitu ndani mwake na waliohoji hatukuwepo mchaga hata mmoja ni sisi jamii zingine ila naona kwa taifa letu sii vyema tumkataye mtu kisa katoka wapi na wengi humu huwa wanaisema chadema kuwa ni chama cha wachaga hiyo ni mbaya kwa taifa nimefanya kazi Kilimanjaro kuna ccm wengi na vyama vingine kama mikoa mingine
 
Ikatokea siku huyu jamaa akaitwa mtakatifu, basi siku hiyo hiyo nami nitamuita shetani kuwa mtakatifu!
Uamuzi ni wako
Haihitajiki mamlaka yeyote kumtambua zaidi ya mtu binafsi..........hata babu yako mtakatifu ukitaka..........kawachinjieni mbuzi zaidi ,hizo za mwanzo hazitoshi, sasa watu hali zao kua mbaya bado wanamlilia marehemu, wakati walishalamba juisi ya ikulu na wakakubalina na 4R ,pambaneni na hali zenu
images.jpeg-90.jpg
images.jpeg-117.jpg
 
Attachments

  • images.jpeg-90.jpg
    images.jpeg-90.jpg
    40.1 KB · Views: 2
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na swaiba wake Godbless Lema wameamua kumtukana hayati Magufuli kwenye ziara zao mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro huku wakimwaga sumu hatari ya ukabila!

Mbowe amesikika mara kadhaa kwenye mikutano yake akiwaambia watu kuwa kipindi cha awamu ya tano kabila la wachaga walinyanyasika sana ikiwemo wote kufukuzwa kazi na kufilisiwa biashara zao. Mbowe anasema mchaga ili apate kazi kwenye kipindi cha Magufuli ilimlazimu kubadili jina lake kutoka la kichaga kwenda la kabila jingine!.

Kumbuka tuhuma hizi nzito na mbaya Mbowe anazimwaga bila ushahidi wowote na vyombo vya dola hazimchukulii hatua yoyote kama vile kumfungulia kesi ya ugaidi kwa kuwachonganisha watanzania.

Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifukuzwa kazi?

Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifilisiwa biashara zao?

Mwl Nyerere alishawahi kuonya kuwa mwanasiasa yeyote aliyefilisika sera kichwani huwa anatafuta uuwangwaji mkono kupitia ukabila, dini na rangi.

Je, kwa kauli hizi za Mbowe inashiria amefilisika kichwani? Kwamba akijibanza kwenye ukabila ndiyo atashinda ubunge tena? Yetu macho.
Mbowe ni Gaidi, yeye anawanyonya wenzake ataki kuachia uenyekiti
 
Hakumaanisha ikulu kwakweli sumu ya kubaguliwa ilioteshwa kwa hiyo jamii mbowe hajasema uongo nakumbuka mwanzo wa marehemu alivyoapishwa tu alichagua nafasi za makatibu wakuu wote hakuchagua mchanga hata mmoja watu tuliokuwepo wote tukashanga waanza kusema hajawahi kutokea akosekane huko hata mmoja wakasema huyu rais kuna kitu ndani mwake na waliohoji hatukuwepo mchaga hata mmoja ni sisi jamii zingine ila naona kwa taifa letu sii vyema tumkataye mtu kisa katoka wapi na wengi humu huwa wanaisema chadema kuwa ni chama cha wachaga hiyo ni mbaya kwa taifa nimefanya kazi Kilimanjaro kuna ccm wengi na vyama vingine kama mikoa mingine
Si mlishakubali mama anaupiga mwingi, vilio vya nini sahivi kwa marehemu, au anafanya huko mambo ya xmas yafeli
 
Hakumaanisha ikulu kwakweli sumu ya kubaguliwa ilioteshwa kwa hiyo jamii mbowe hajasema uongo nakumbuka mwanzo wa marehemu alivyoapishwa tu alichagua nafasi za makatibu wakuu wote hakuchagua mchanga hata mmoja watu tuliokuwepo wote tukashanga waanza kusema hajawahi kutokea akosekane huko hata mmoja wakasema huyu rais kuna kitu ndani mwake na waliohoji hatukuwepo mchaga hata mmoja ni sisi jamii zingine ila naona kwa taifa letu sii vyema tumkataye mtu kisa katoka wapi na wengi humu huwa wanaisema chadema kuwa ni chama cha wachaga hiyo ni mbaya kwa taifa nimefanya kazi Kilimanjaro kuna ccm wengi na vyama vingine kama mikoa mingine

Marehemu wakati wa ufunguzi wa barabara ya Dodoma to Iringa, alisema, "..... wenzetu wa kaskazini watubiri kwanza,,,", akimaanisha wasipelekewe miradi ya maendeleo.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na swaiba wake Godbless Lema wameamua kumtukana hayati Magufuli kwenye ziara zao mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro huku wakimwaga sumu hatari ya ukabila!

Mbowe amesikika mara kadhaa kwenye mikutano yake akiwaambia watu kuwa kipindi cha awamu ya tano kabila la wachaga walinyanyasika sana ikiwemo wote kufukuzwa kazi na kufilisiwa biashara zao. Mbowe anasema mchaga ili apate kazi kwenye kipindi cha Magufuli ilimlazimu kubadili jina lake kutoka la kichaga kwenda la kabila jingine!.

Kumbuka tuhuma hizi nzito na mbaya Mbowe anazimwaga bila ushahidi wowote na vyombo vya dola hazimchukulii hatua yoyote kama vile kumfungulia kesi ya ugaidi kwa kuwachonganisha watanzania.

Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifukuzwa kazi?

Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifilisiwa biashara zao?

Mwl Nyerere alishawahi kuonya kuwa mwanasiasa yeyote aliyefilisika sera kichwani huwa anatafuta uuwangwaji mkono kupitia ukabila, dini na rangi.

Je, kwa kauli hizi za Mbowe inashiria amefilisika kichwani? Kwamba akijibanza kwenye ukabila ndiyo atashinda ubunge tena? Yetu macho.
Ni sawa tu ccm walipouza bandari walisema watu wa bara haiwahusu
 
Wachaga hawajawahi acha ukabila hata kwa sekunde moja. Ndio wanaongiza kwa ukabila kwenye ofisi za umma. Sio watu wa kwaamini kuwa hawana ukabila hata kwa nukta moja.
 
Hilo la kuchukiwa wala hamsingizihi ni kweli marehemu alibagua wachaga na hata sasa wachaga wanabaguliwa na kuonekana kubwa ndiyo wameharibu nchi kwa maana. Bado mnamwaga sumu kubwa mchanga hafai kuwa rais mara nyerere alisema kumbe hata baba wa watu hakusema hivyo jamii kubwa ya kitanzania imeingizwa kasumba kubwa mchanga ni mtu mbaya lakini sio ni jamii iliyojitambua na hawana ukabila na wanauwezo wakiishi popote duniani na wamezagaa sana na nimekaa nao wanapenda maendeleo sana
NI kweli Magufuli aliwachukia wachaga hatuwezi kumung'unya hilo na ni kweli hawa watu wanapenda maendeleo.Ila hapo kwenye ukabila umechemka ndugu,Sijawahi ona watu wakabila kama hao.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na swaiba wake Godbless Lema wameamua kumtukana hayati Magufuli kwenye ziara zao mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro huku wakimwaga sumu hatari ya ukabila!

Mbowe amesikika mara kadhaa kwenye mikutano yake akiwaambia watu kuwa kipindi cha awamu ya tano kabila la wachaga walinyanyasika sana ikiwemo wote kufukuzwa kazi na kufilisiwa biashara zao. Mbowe anasema mchaga ili apate kazi kwenye kipindi cha Magufuli ilimlazimu kubadili jina lake kutoka la kichaga kwenda la kabila jingine!.

Kumbuka tuhuma hizi nzito na mbaya Mbowe anazimwaga bila ushahidi wowote na vyombo vya dola hazimchukulii hatua yoyote kama vile kumfungulia kesi ya ugaidi kwa kuwachonganisha watanzania.

Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifukuzwa kazi?

Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifilisiwa biashara zao?

Mwl Nyerere alishawahi kuonya kuwa mwanasiasa yeyote aliyefilisika sera kichwani huwa anatafuta uuwangwaji mkono kupitia ukabila, dini na rangi.

Je, kwa kauli hizi za Mbowe inashiria amefilisika kichwani? Kwamba akijibanza kwenye ukabila ndiyo atashinda ubunge tena? Yetu macho.
Naunga mkono hoja
 
Mimi siyo mchaga lakini tuseme ukweli, MAGUFULI ALIWACHUKIA WACHAGA VIBAYA SANA HUU NDIYO UKWELI HALISI, WENGI WALIFILISIWA, MZEE MENGI BAADA YA KUKUTA KWENYE AKAUNTA ZIMEPAKULIWA, #$&$#@#$&!
Waliofilisiwa siyo wachaga tu.Kuna wasukuma na makabila mengine pia waliofilisiwa.
Magufuli hakuwa anamuonea mtu.Alikuwa anafilisi kwa kutumia sheria inayoitwa The Proceeds of Crime Act ya mwaka 1991 ambayo hakuitunga yeye.
 
Chadema walishaacha zamani sana kutangaza sera, sasa hivi ni mwendo wa porojo, matusi na huo ukabila sasa.
Akija huku umakondeni na sisi akina "njomba" atatuambia kuwa tulifukuzwa kazi na kufilisiwa wote? Au hiyo ni sera ya uchagani tu?

Inasikitisha sana
 
Hilo la kuchukiwa wala hamsingizihi ni kweli marehemu alibagua wachaga na hata sasa wachaga wanabaguliwa na kuonekana kubwa ndiyo wameharibu nchi kwa maana. Bado mnamwaga sumu kubwa mchanga hafai kuwa rais mara nyerere alisema kumbe hata baba wa watu hakusema hivyo jamii kubwa ya kitanzania imeingizwa kasumba kubwa mchanga ni mtu mbaya lakini sio ni jamii iliyojitambua na hawana ukabila na wanauwezo wakiishi popote duniani na wamezagaa sana na nimekaa nao wanapenda maendeleo sana

Kwa hiyo walifukuzwa kazi?
 
Marehemu wakati wa ufunguzi wa barabara ya Dodoma to Iringa, alisema, "..... wenzetu wa kaskazini watubiri kwanza,,,", akimaanisha wasipelekewe miradi ya maendeleo.

Mbona Magufuli alipeleka reli na kujenga daraja jipya kwa wachaga
 
Waliofilisiwa siyo wachaga tu.Kuna wasukuma na makabila mengine pia waliofilisiwa.
Magufuli hakuwa anamuonea mtu.Alikuwa anafilisi kwa kutumia sheria inayoitwa The Proceeds of Crime Act ya mwaka 1991 ambayo hakuitunga yeye.

Uko sahihi
 
Back
Top Bottom