Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unajua makosa ya UHAINI?Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na swaiba wake Godbless Lema wameamua kumtukana hayati Magufuli kwenye ziara zao mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro huku wakimwaga sumu hatari ya ukabila!
Mbowe amesikika mara kadhaa kwenye mikutano yake akiwaambia watu kuwa kipindi cha awamu ya tano kabila la wachaga walinyanyasika sana ikiwemo wote kufukuzwa kazi na kufilisiwa biashara zao. Mbowe anasema mchaga ili apate kazi kwenye kipindi cha Magufuli ilimlazimu kubadili jina lake kutoka la kichaga kwenda la kabila jingine!.
Kumbuka tuhuma hizi nzito na mbaya Mbowe anazimwaga bila ushahidi wowote na vyombo vya dola hazimchukulii hatua yoyote kama vile kumfungulia kesi ya ugaidi kwa kuwachonganisha watanzania.
Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifukuzwa kazi?
Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifilisiwa biashara zao?
Mwl Nyerere alishawahi kuonya kuwa mwanasiasa yeyote aliyefilisika sera kichwani huwa anatafuta uuwangwaji mkono kupitia ukabila, dini na rangi.
Je, kwa kauli hizi za Mbowe inashiria amefilisika kichwani? Kwamba akijibanza kwenye ukabila ndiyo atashinda ubunge tena? Yetu macho.
Mkuu mimi nikibahatoka kuwa na watoto nitawaita majina ya kibantu tu, maana huko tuendako ni giza tu.ĝMbowe Yuko sawa tu, me mwenyewe nilikuwa naelekea kubadili jina Ili niwe na jina la kisukuma
Kama walikuwa wanachapa kazi hakuna shida kuwa na wasukuma wengi ....mbona samia kajaza wazenji na waislamu waovyo wasio fanya kazi bali uhuni tu na ufisadi ....sisi tunataka wazalendo siyo dini au kabilaTulishuhudia mengi chini ya jiwe tafuta ajira za ualimu kipindi Cha jiwe zile za mwisho kabisa, utaona uchafu wa jiwe pale, utaona majina ya kisukuma yalivyo jaa
Ilikua ni kummaliza kiainaKimei si alipitishwa kuwa mbunge
ACHA kupuyanga Mimi ni masanja kayanda kwetu lamadi vijijiniWachaga mnajiona mko special
Punguza kujitia vidole Sasa dadaSawa
Gume gume sugu la LUMUMBA buku7Sawa nitapungua kukutia madole
Sasa hata polisi wakimchukulia hatua na kumshitaki mahakamani anayesemwa kufanya hayo atafufuka ili aje kujitetea?Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na swaiba wake Godbless Lema wameamua kumtukana hayati Magufuli kwenye ziara zao mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro huku wakimwaga sumu hatari ya ukabila!
Mbowe amesikika mara kadhaa kwenye mikutano yake akiwaambia watu kuwa kipindi cha awamu ya tano kabila la wachaga walinyanyasika sana ikiwemo wote kufukuzwa kazi na kufilisiwa biashara zao. Mbowe anasema mchaga ili apate kazi kwenye kipindi cha Magufuli ilimlazimu kubadili jina lake kutoka la kichaga kwenda la kabila jingine!.
Kumbuka tuhuma hizi nzito na mbaya Mbowe anazimwaga bila ushahidi wowote na vyombo vya dola hazimchukulii hatua yoyote kama vile kumfungulia kesi ya ugaidi kwa kuwachonganisha watanzania.
Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifukuzwa kazi?
Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifilisiwa biashara zao?
Mwl Nyerere alishawahi kuonya kuwa mwanasiasa yeyote aliyefilisika sera kichwani huwa anatafuta uuwangwaji mkono kupitia ukabila, dini na rangi.
Je, kwa kauli hizi za Mbowe inashiria amefilisika kichwani? Kwamba akijibanza kwenye ukabila ndiyo atashinda ubunge tena? Yetu macho.
Chenge. Konakona sio wachaga tu. Watu kibao wanakonakona ila yeye alikuwa na vita na wachaga. Ni dhana ya washamba wengi kuwa kila mchaga ni mwizi. Ni lack of exposure na insecurities.Emu tutajie mchaga mmoja aliyeonewa na Magufuli...
Na hakua na konakona ...
Tutajie na msukuma mmoja aliyependelewa na alikuwa na kona kona...
Mfano, Magufuli akishughulikia wenye vyeti feki, tutajie msukuma aliyekua na cheti feki na hakuguswa...
Chenge. Konakona sio wachaga tu. Watu kibao wanakonakona ila yeye alikuwa na vita na wachaga. Ni dhana ya washamba wengi kuwa kila mchaga ni mwizi. Ni lack of exposure na insecurities.