Pre GE2025 Freeman Mbowe ameamua kumwaga sumu ya ukabila mikoa ya Kaskazini

Pre GE2025 Freeman Mbowe ameamua kumwaga sumu ya ukabila mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo walifukuzwa kazi?
Wapo wengi sana hasa idara zote zilizokuwa zinaongozwa na mtu wa kabila hilo mfano mfupi kwenye mita ya mafuta bandari kutolewa yule mama mpaka leo mafuta zinatumika mita au bado yanapita kama kawaida bila kupita kwenye mita tukubali tu marehemu aliwabagua hilo kabila sikufurahia japo mimi siyo hilo kabila Tanzania wote ni ndugu akiongoza msukuma sawa awe mhehe sawa tusibaguane kwa ukabila
 
Mimi nilikuwa nafanya kazi kazikazini kipindi chake aligoma tofauti na ile miradi aliyokuta imeshaanza aliwabagua sana hata huko aliko kama kuulizwa ataulizwa
Marehemu wakati wa ufunguzi wa barabara ya Dodoma to Iringa, alisema, "..... wenzetu wa kaskazini watubiri kwanza,,,", akimaanisha wasipelekewe miradi ya maendeleo.
 
Wewe ulitaka aseme Mama anaupiga mwingi?
Freedom of speech. Na kwanza huyo mwalim wako sijui nan nani nae ana upuuz wake mwingi tu.
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na swaiba wake Godbless Lema wameamua kumtukana hayati Magufuli kwenye ziara zao mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro huku wakimwaga sumu hatari ya ukabila!

Mbowe amesikika mara kadhaa kwenye mikutano yake akiwaambia watu kuwa kipindi cha awamu ya tano kabila la wachaga walinyanyasika sana ikiwemo wote kufukuzwa kazi na kufilisiwa biashara zao. Mbowe anasema mchaga ili apate kazi kwenye kipindi cha Magufuli ilimlazimu kubadili jina lake kutoka la kichaga kwenda la kabila jingine!.

Kumbuka tuhuma hizi nzito na mbaya Mbowe anazimwaga bila ushahidi wowote na vyombo vya dola hazimchukulii hatua yoyote kama vile kumfungulia kesi ya ugaidi kwa kuwachonganisha watanzania.

Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifukuzwa kazi?

Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifilisiwa biashara zao?

Mwl Nyerere alishawahi kuonya kuwa mwanasiasa yeyote aliyefilisika sera kichwani huwa anatafuta uuwangwaji mkono kupitia ukabila, dini na rangi.

Je, kwa kauli hizi za Mbowe inashiria amefilisika kichwani? Kwamba akijibanza kwenye ukabila ndiyo atashinda ubunge tena? Yetu macho.
Sasa uongo ni upi.
Magufuli alisema mara nyingi tu wachaga kimaendeleo wasubiri kwanza.
Kwani ni uongo walokuwa wateuzi serikalini wachaga waliondolewa?
Ni uongo kitilya, na wengineo mfano Laswai hakuvamiwa na kuchukuliwa zaidi ya 10b kwenye bureau de change yake na za wachaga wengine? Ni uongo wa ngurdoto hakuhujumiwa, ni uongo Crystal Palace haikuvunjwa ukuta kwa ngulelo, ni uongo kimei hakuondolewa kinyama crdb, ni uongo mbowe hakuchukuliwa fedha benki,ni uongo hakumtumia sabaya kuwanyanganya pesa watu wa moshi na hai mfano PANONE nk.
Acha upuuzi
 
Kama bado wanamnanga Magu mpaka leo basi huko ni kuishiwa hoja.

Japo ni kweli yule mzee alikua mkandamizi haswa, alikua ni neema kwa wale aliowagusa (sana sana waliopewa jina wanyonge) ila wale aliowachukia hasa wanaojiweza walionja joto la jiwe.
 
Lakini ametuachia treni ya umeme
Sikiliza... Miundombinu itaendelea kujengwa na kubomolewa/kuboreshwa na kila anayeitwa kiongozi.
Hivyo ni akili ndogo kudhani kuwa bila yeye hizo treni zisingekuja!
 
Tuwe wakweli mbele za Mungu na binadamu wachaga ndio waanzilishi wa ukabila na ubaguzi wa kikabila wakishika nafasi.Mchaga mmoja akishika nafasi kubwa basi jiandae wachaga kujazana hiyo ofisi kuanzia madereva,wapishi,ma mesenja,nk na tenda wanapeana wenyewe.Mchagga wa ofisi anampa mchaga mwenzie

Ukabila ni dhambi isiyo na maisha ndio maana ukabila maofisini wa kichaga ulikomeshwa sana kipindi cha Magufuli aliubomoa hasa sio utani

Lakini waanzilishi wa ukabila maofisini na upendeleo wa ukabila wachaga ndio walikuwa vinara.Watubu tu hiyo dhambi kwa Mungu wasilaumu Magufuli ni mkono wa Mungu ulimtumia Magufuli kuvunja huo ukabila maofisini nk

Kuja kurudi maofisini ukabila wa k8chaga maofisini si leo wala kesho
 
Mbona sijakutana na hao wachaga waliobadili majina.

Hivi inawezekana kweli mtu ukawa kazini ukabadili jina??

Na waliokuajiri wasijujue.

Hiki ni kituko.
 
Hajakosea! Mwendazake aliwaendesha kikweli kweli.
Nakumbuka kwenye Mamlaka moja ya Umma niliyokuwa nafanyia,Mkurugenzi alikuwa Mchaga na alikuwa ameteuliwa miezi miwili na JK kabla hajamaliza awamu yake ya Urais,baada ya JPM kuapishwa alitengua nafasi yake haraka! Hakuishia hapo akamtengua yule wa TRA ambaye aligundulika kama sikosei alikuwa na nyumba 49!
Ila JPM alifanya vizuri maana kama Lowassa angechukua nchi Wachaga wangeifilisi nchi.
Kwa hili simtetei Mbowe!
 
Wakati wa serikali ya awamu ya tatu watu walilalamika Sana kuhusu wachaga kuajiliwa tra wakati huo waziri wa fedha Mramba alikuwa mchaga na kamishina wa Tra.alikuwa Kitilya wote wachaga mbona hamlisemehi Hilo wakati Hadi wabunge walilalamika kuhusu huo ukabila.
Mbowe anatakiwa aachie nafasi ya uongozi Chadema maana Hana jipya.
 
Kubali tu kuwa Magufuli ameshakufa, hata ufanyeje harudi. Endelea na maisha yako achana na kumtaja kila siku kama vile ni mungu.

Mbowe hawezi kumaliza mkutano bila kutaja Magufuli
 
Sasa uongo ni upi.
Magufuli alisema mara nyingi tu wachaga kimaendeleo wasubiri kwanza.
Kwani ni uongo walokuwa wateuzi serikalini wachaga waliondolewa?
Ni uongo kitilya, na wengineo mfano Laswai hakuvamiwa na kuchukuliwa zaidi ya 10b kwenye bureau de change yake na za wachaga wengine? Ni uongo wa ngurdoto hakuhujumiwa, ni uongo Crystal Palace haikuvunjwa ukuta kwa ngulelo, ni uongo kimei hakuondolewa kinyama crdb, ni uongo mbowe hakuchukuliwa fedha benki,ni uongo hakumtumia sabaya kuwanyanganya pesa watu wa moshi na hai mfano PANONE nk.
Acha upuuzi

Kimei si alipitishwa kuwa mbunge
 
Sikiliza... Miundombinu itaendelea kujengwa na kubomolewa/kuboreshwa na kila anayeitwa kiongozi.
Hivyo ni akili ndogo kudhani kuwa bila yeye hizo treni zisingekuja!

Zingekuja lini wakati mbowe alikuwa anapinga ujenzi wake?
 
Tuwe wakweli mbele za Mungu na binadamu wachaga ndio waanzilishi wa ukabila na ubaguzi wa kikabila wakishika nafasi.Mchaga mmoja akishika nafasi kubwa basi jiandae wachaga kujazana hiyo ofisi kuanzia madereva,wapishi,ma mesenja,nk na tenda wanapeana wenyewe.Mchagga wa ofisi anampa mchaga mwenzie

Ukabila ni dhambi isiyo na maisha ndio maana ukabila maofisini wa kichaga ulikomeshwa sana kipindi cha Magufuli aliubomoa hasa sio utani

Lakini waanzilishi wa ukabila maofisini na upendeleo wa ukabila wachaga ndio walikuwa vinara.Watubu tu hiyo dhambi kwa Mungu wasilaumu Magufuli ni mkono wa Mungu ulimtumia Magufuli kuvunja huo ukabila maofisini nk

Kuja kurudi maofisini ukabila wa k8chaga maofisini si leo wala kesho

Umesema kweli kabisa
 
Mbona sijakutana na hao wachaga waliobadili majina.

Hivi inawezekana kweli mtu ukawa kazini ukabadili jina??

Na waliokuajiri wasijujue.

Hiki ni kituko.

Dikteta gaidi ni janga kwa nchi yetu
 
Wakati wa serikali ya awamu ya tatu watu walilalamika Sana kuhusu wachaga kuajiliwa tra wakati huo waziri wa fedha Mramba alikuwa mchaga na kamishina wa Tra.alikuwa Kitilya wote wachaga mbona hamlisemehi Hilo wakati Hadi wabunge walilalamika kuhusu huo ukabila.
Mbowe anatakiwa aachie nafasi ya uongozi Chadema maana Hana jipya.

Uko sahihi
 
Back
Top Bottom