Kwani nani asiyejua kuwa wewe ni shoga mwandamizi? Kama unabisha tukupime kama marinda yamo humo
Kuna mahali huwa tunapishana sana na wewe na kuna mahali huwa tunakiwa pamoja
Kwenye maisha yangu huwa sinaga msimamo na mtu kisa siasa,
Mimi ni mfuasi kamili wa upinzani, ila mambo ya kijinga kamwe siwezi kuyaunga mkono kisa yamesemwa na mpinzani na mimi nikiwa mpinzani
CCM kinachowafanya wasiungane na sisi katika kutafuta katiba na haki ya kila mwananchi, ni kwa sababu hizihizi, kwamba kila kinachosemwa na kiongozi wao hata kama ni cha hovyo, ambacho kinaleta utengano wa kitaifa wao wanashangiloa tu, hakuna hata mmoja asiyehitaji Katiba, hata ccm wanaitaka, ila hizi kasumba za mashabiki wa vyama kutetea kila neno ndio tatizo, na chadema mnaanza kuchukua mkondo huohuo
Huo ujinga kwangu ni mwiko, na huko upinzani, mfano kama wewe, ni mfano wa watu wale wale wa ccm wanaoshangilia kila kitu
Mbowe lazima akemewe anapoleta ukabila
Ni mtu mjinga tu anaye/aliyeunga mkono neno la sukumagang
Ni upumbavu uliopitiliza kushangilia mtu aliyepotoka kujigamba kwa kutumia kabila lake
Hekima ni kwamba, yaliyopita yapite tuyaache tujenge Taifa letu lisilozingatia kabila ya mtu
Mimi ni mmojawapo ya watu tunaochukizwa sana na maneno ya kibaguzi tena yakisemwa na viongozi wa kitafa