Pre GE2025 Freeman Mbowe ameamua kumwaga sumu ya ukabila mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna asiejua wasukuma walipendeleana sana na wachaga walikuwa targeted kipindi kile. Tuache unafiq.
 
Magufuli hakuwachukia wachaga...

Alichukia wezi, utapeli,uuzaji wa madawa ya kulevya na vyeti feki...

Aliwashughulikia hawa bila kujali asili zao...

Huenda wachaga walijihisi kuonewa na utawala ule kwasababu shughuli zao nyingi zinahusisha wizi utapeli vyeti feki na madawa ya kulevya...

Na kimsingi kwenye hili raisi yeyote mwenye kutaka kuzuia hayo watamchukia si Magufuli tu...

Magufuli hakupendwa na watu wengi tu wa asili yake, ni kwasababu hakuwa na rafiki kwenye maslahi ya nchi.
 
Hakuna asiejua wasukuma walipendeleana sana na wachaga walikuwa targeted kipindi kile. Tuache unafiq.
Emu tutajie mchaga mmoja aliyeonewa na Magufuli...

Na hakua na konakona ...

Tutajie na msukuma mmoja aliyependelewa na alikuwa na kona kona...

Mfano, Magufuli akishughulikia wenye vyeti feki, tutajie msukuma aliyekua na cheti feki na hakuguswa...
 
Mbowe
Yote aliyoasema Mbowe ni sahihi kabisa!
Tunaokaa mikoa ya Kaskazini tunaweza kutoa shuhuda nyingi!
 
Ni ujinga kuwa na kiongozi mwenye chuki ya wazi. Tanzania ni ya wote!
Kiongozi mzuri anapaswa kujikita kwenye misingi ya sheria ili kila mmoja apate anachostahiki.
JPM wasn't a leader make aliendekeza sana ubinafsi, umimi, chuki, visasi na vinyongo nje ya misingi ya utu, Katiba na sheria!
No wonders he died so early!
 
Kwani nani asiyejua kuwa wewe ni shoga mwandamizi? Kama unabisha tukupime kama marinda yamo humo
Kuna mahali huwa tunapishana sana na wewe na kuna mahali huwa tunakiwa pamoja

Kwenye maisha yangu huwa sinaga msimamo na mtu kisa siasa,

Mimi ni mfuasi kamili wa upinzani, ila mambo ya kijinga kamwe siwezi kuyaunga mkono kisa yamesemwa na mpinzani na mimi nikiwa mpinzani

CCM kinachowafanya wasiungane na sisi katika kutafuta katiba na haki ya kila mwananchi, ni kwa sababu hizihizi, kwamba kila kinachosemwa na kiongozi wao hata kama ni cha hovyo, ambacho kinaleta utengano wa kitaifa wao wanashangiloa tu, hakuna hata mmoja asiyehitaji Katiba, hata ccm wanaitaka, ila hizi kasumba za mashabiki wa vyama kutetea kila neno ndio tatizo, na chadema mnaanza kuchukua mkondo huohuo

Huo ujinga kwangu ni mwiko, na huko upinzani, mfano kama wewe, ni mfano wa watu wale wale wa ccm wanaoshangilia kila kitu

Mbowe lazima akemewe anapoleta ukabila

Ni mtu mjinga tu anaye/aliyeunga mkono neno la sukumagang

Ni upumbavu uliopitiliza kushangilia mtu aliyepotoka kujigamba kwa kutumia kabila lake

Hekima ni kwamba, yaliyopita yapite tuyaache tujenge Taifa letu lisilozingatia kabila ya mtu

Mimi ni mmojawapo ya watu tunaochukizwa sana na maneno ya kibaguzi tena yakisemwa na viongozi wa kitafa
 
Mbowe Yuko sawa tu, me mwenyewe nilikuwa naelekea kubadili jina Ili niwe na jina la kisukuma
Kama mlikuwa na vyeti feki na mafisadi mlitegemea nini kwa Rais mzalendo....lazima mpigwe chini na hivyo ndivyo wa tz tunataka kuona na kusikia ....hatutaki marais wapuuzi wanao kumbatia wahuni serikalini kama chura
 
Emu eleza alikua na chuki kwenye kipi?
 
Marehemu wakati wa ufunguzi wa barabara ya Dodoma to Iringa, alisema, "..... wenzetu wa kaskazini watusubiri kwanza,,,", akimaanisha wasipelekewe miradi ya maendeleo.
KAULI YA AJABU YA KIONGOZI MBINAFSI.
 
Kama mlikuwa na vyeti feki na mafisadi mlitegemea nini kwa Rais mzalendo....lazima mpigwe chini na hivyo ndivyo wa tz tunakaka kuona na kusikia ....hatutaki marais wapuuzi wanao kumbatia wahuni serikalini kama chura
Tulishuhudia mengi chini ya jiwe tafuta ajira za ualimu kipindi Cha jiwe zile za mwisho kabisa, utaona uchafu wa jiwe pale, utaona majina ya kisukuma yalivyo jaa
 

Safi sana mkuu umefafanua vizuri
 

Lakini ametuachia treni ya umeme
 
Huyu ni Paschal? uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kama mlikuwa na vyeti feki na mafisadi mlitegemea nini kwa Rais mzalendo....lazima mpigwe chini na hivyo ndivyo wa tz tunakaka kuona na kusikia ....hatutaki marais wapuuzi wanao kumbatia wahuni serikalini kama chura

Eti wanataka waachwe tu na wizi wao kisa wachaga!
 
Kubali tu kuwa Magufuli ameshakufa, hata ufanyeje harudi. Endelea na maisha yako achana na kumtaja kila siku kama vile ni mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…