Wapo wengi sana hasa idara zote zilizokuwa zinaongozwa na mtu wa kabila hilo mfano mfupi kwenye mita ya mafuta bandari kutolewa yule mama mpaka leo mafuta zinatumika mita au bado yanapita kama kawaida bila kupita kwenye mita tukubali tu marehemu aliwabagua hilo kabila sikufurahia japo mimi siyo hilo kabila Tanzania wote ni ndugu akiongoza msukuma sawa awe mhehe sawa tusibaguane kwa ukabilaKwa hiyo walifukuzwa kazi?
Marehemu wakati wa ufunguzi wa barabara ya Dodoma to Iringa, alisema, "..... wenzetu wa kaskazini watubiri kwanza,,,", akimaanisha wasipelekewe miradi ya maendeleo.
Tumia akili, siyo kila mtu unamwita paskalPaskal upo hapa! Reply hii haiko kwenye hadhi yako, tumia busara zako.
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!Wewe ulitaka aseme Mama anaupiga mwingi?
Freedom of speech. Na kwanza huyo mwalim wako sijui nan nani nae ana upuuz wake mwingi tu.
Sasa uongo ni upi.Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na swaiba wake Godbless Lema wameamua kumtukana hayati Magufuli kwenye ziara zao mikoa ya Tanga, Arusha na Kilimanjaro huku wakimwaga sumu hatari ya ukabila!
Mbowe amesikika mara kadhaa kwenye mikutano yake akiwaambia watu kuwa kipindi cha awamu ya tano kabila la wachaga walinyanyasika sana ikiwemo wote kufukuzwa kazi na kufilisiwa biashara zao. Mbowe anasema mchaga ili apate kazi kwenye kipindi cha Magufuli ilimlazimu kubadili jina lake kutoka la kichaga kwenda la kabila jingine!.
Kumbuka tuhuma hizi nzito na mbaya Mbowe anazimwaga bila ushahidi wowote na vyombo vya dola hazimchukulii hatua yoyote kama vile kumfungulia kesi ya ugaidi kwa kuwachonganisha watanzania.
Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifukuzwa kazi?
Je, ni kweli kwa mjibu wa Mbowe kwamba wachaga wote walifilisiwa biashara zao?
Mwl Nyerere alishawahi kuonya kuwa mwanasiasa yeyote aliyefilisika sera kichwani huwa anatafuta uuwangwaji mkono kupitia ukabila, dini na rangi.
Je, kwa kauli hizi za Mbowe inashiria amefilisika kichwani? Kwamba akijibanza kwenye ukabila ndiyo atashinda ubunge tena? Yetu macho.
Sikiliza... Miundombinu itaendelea kujengwa na kubomolewa/kuboreshwa na kila anayeitwa kiongozi.Lakini ametuachia treni ya umeme
Matapeli wengi wapo ccm, bungeni na serikalini.Kwa sababu mmejaa utapeli mwingi
Sasa uongo ni upi.
Magufuli alisema mara nyingi tu wachaga kimaendeleo wasubiri kwanza.
Kwani ni uongo walokuwa wateuzi serikalini wachaga waliondolewa?
Ni uongo kitilya, na wengineo mfano Laswai hakuvamiwa na kuchukuliwa zaidi ya 10b kwenye bureau de change yake na za wachaga wengine? Ni uongo wa ngurdoto hakuhujumiwa, ni uongo Crystal Palace haikuvunjwa ukuta kwa ngulelo, ni uongo kimei hakuondolewa kinyama crdb, ni uongo mbowe hakuchukuliwa fedha benki,ni uongo hakumtumia sabaya kuwanyanganya pesa watu wa moshi na hai mfano PANONE nk.
Acha upuuzi
Tuwe wakweli mbele za Mungu na binadamu wachaga ndio waanzilishi wa ukabila na ubaguzi wa kikabila wakishika nafasi.Mchaga mmoja akishika nafasi kubwa basi jiandae wachaga kujazana hiyo ofisi kuanzia madereva,wapishi,ma mesenja,nk na tenda wanapeana wenyewe.Mchagga wa ofisi anampa mchaga mwenzie
Ukabila ni dhambi isiyo na maisha ndio maana ukabila maofisini wa kichaga ulikomeshwa sana kipindi cha Magufuli aliubomoa hasa sio utani
Lakini waanzilishi wa ukabila maofisini na upendeleo wa ukabila wachaga ndio walikuwa vinara.Watubu tu hiyo dhambi kwa Mungu wasilaumu Magufuli ni mkono wa Mungu ulimtumia Magufuli kuvunja huo ukabila maofisini nk
Kuja kurudi maofisini ukabila wa k8chaga maofisini si leo wala kesho
Wakati wa serikali ya awamu ya tatu watu walilalamika Sana kuhusu wachaga kuajiliwa tra wakati huo waziri wa fedha Mramba alikuwa mchaga na kamishina wa Tra.alikuwa Kitilya wote wachaga mbona hamlisemehi Hilo wakati Hadi wabunge walilalamika kuhusu huo ukabila.
Mbowe anatakiwa aachie nafasi ya uongozi Chadema maana Hana jipya.