Pre GE2025 Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kutafuta Mafekeche akiwaaga Wajumbe Ukumbini, "ninyi jengeni Siasa"

Pre GE2025 Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kutafuta Mafekeche akiwaaga Wajumbe Ukumbini, "ninyi jengeni Siasa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hekima anayo ILA sio sana kama unavyosema. Angekuwa na hekima sana asingepambania kushinda hadi mwisho, pressure ya wapenda mageuzi ilikuwa kubwa sana kuweza kusoma alama za nyakati, asingetuhusu mtifuano na majeraha ya uchaguzi, angejitoa hata siku ya uchaguzi.

Vv
Asilimia 47 walimkataa Lissu. Kumbukeni hilo na muwe na adabu.

Amandla...
 
Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana baadae.

Pia, Soma: Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu

"Ngojeni nikapige mzigo, nitafute wanaita Mafekeche, nikatafute fedha kwasababu tukifanya biashara sawa sawa tunatengeneza uchumi, ninyi jengeni Siasa, tutaendelea kusaidiana, tutaendelea kushauriana, wotw lengo letu la kuijenga demokrasia katika nchi hii haliwezi kufifishwa na uchaguzi"
Mara paap, Freeman Aikaile Mbowe kahamia ccm.
 
Ngojeni nikapige mzigo, nitafute wanaita Mafekeche, nikatafute fedha kwasababu tukifanya biashara sawa sawa tunatengeneza uchumi, ninyi jengeni Siasa, tutaendelea kusaidiana, tutaendelea kushauriana, wote lengo letu la kuijenga demokrasia katika nchi hii haliwezi kufifishwa na uchaguzi"💪🏿👌🏿🙏🏿💗❤💗❤💗
Nimejikuta nabubujikwa na machozi kama Lucas😊
 
Hekima anayo ILA sio sana kama unavyosema. Angekuwa na hekima sana asingepambania kushinda hadi mwisho, pressure ya wapenda mageuzi ilikuwa kubwa sana kuweza kusoma alama za nyakati, asingetuhusu mtifuano na majeraha ya uchaguzi, angejitoa hata siku ya uchaguz

Asilimia 47 walimkataa Lissu. Kumbukeni hilo na muwe na adabu.

Amandla...
Hawakumkataa,Dhahiri wanamkubali sana Lissu,Sema walilewa kwa Hongo za XChair.Lakini naamini kabisa wanachama na viongozi hata hao akina Boni yai wanajua shughuli ya Lissu.
 
Back
Top Bottom