Pre GE2025 Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kutafuta Mafekeche akiwaaga Wajumbe Ukumbini, "ninyi jengeni Siasa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana baadae.

Pia, Soma: Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu

"Ngojeni nikapige mzigo, nitafute wanaita Mafekeche, nikatafute fedha kwasababu tukifanya biashara sawa sawa tunatengeneza uchumi, ninyi jengeni Siasa, tutaendelea kusaidiana, tutaendelea kushauriana, wotw lengo letu la kuijenga demokrasia katika nchi hii haliwezi kufifishwa na uchaguzi"
Kauli hii ya kujifariji imejaa maumivu na majuto makubwa Kwa sababu Haina msingi Wala haikuwa na maana yeyote kuisema.

Kwamba amewaona hao Jamaa hawana pesa Hadi aseme eti tutasaidiana 😂😂
 
... you could be right but, believe me, now CHADEMA is EYELESS!
All these shenanigans were rooted out of The Boss Lady's fears, that CHADEMA will turn into a cannon fodder of MANANASI GANG, who will turn it into a political launch-pad for scathing attacks against her Presidency. You wait and see 🤣🤣🤣​
 
Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana baadae.

Pia, Soma: Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu

"Ngojeni nikapige mzigo, nitafute wanaita Mafekeche, nikatafute fedha kwasababu tukifanya biashara sawa sawa tunatengeneza uchumi, ninyi jengeni Siasa, tutaendelea kusaidiana, tutaendelea kushauriana, wotw lengo letu la kuijenga demokrasia katika nchi hii haliwezi kufifishwa na uchaguzi"
Hili ni dongo
 
... the only way CHADEMA can restore her eyesight is by wining bigly in the coming elections! ... otherwise it's gonna be, not only blind, but DEAF as well!
CHADEMA TERRIBLY NEEDED THAT EFFICIENT CHAGA BUSINESS LEADERSHIP AS A GOOD BOOST!
(MIND YOU, I HATE POLITICS! ... lakini "USIONE VYAELEA, VYAUNDWA!")
 
Hekima anayo ILA sio sana kama unavyosema. Angekuwa na hekima sana asingepambania kushinda hadi mwisho, pressure ya wapenda mageuzi ilikuwa kubwa sana kuweza kusoma alama za nyakati, asingetuhusu mtifuano na majeraha ya uchaguzi, angejitoa hata siku ya uchaguzi.

Vv
Haujui unalosema kaaa kimyaaa
 
Hawakumkataa,Dhahiri wanamkubali sana Lissu,Sema walilewa kwa Hongo za XChair.Lakini naamini kabisa wanachama na viongozi hata hao akina Boni yai wanajua shughuli ya Lissu.
Sasa unaongea kama CCM. Kila mtu anakubali fikra sahihi za kiongozi wetu kipenzi! Na asiyemkubali ana matatizo yake binafsi! Huu si ndio mwanzo wa uchawa? Kazi ya Our Dear Leader Lissu haina makosa. Mnataka CDM iwe cult na sio chama. The future is frightening.

Amandla...
 
Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana baadae.

Pia, Soma: Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu

"Ngojeni nikapige mzigo, nitafute wanaita Mafekeche, nikatafute fedha kwasababu tukifanya biashara sawa sawa tunatengeneza uchumi, ninyi jengeni Siasa, tutaendelea kusaidiana, tutaendelea kushauriana, wotw lengo letu la kuijenga demokrasia katika nchi hii haliwezi kufifishwa na uchaguzi"
Akapige muziki pale Billcanas
 
Jamaa alitaka kulia masikini nimeamini madaraka matamu bwana alishazoea kuabudiwa huyu alishajiona mungumtu,hakuamini kama angepigwa chini
 
Back
Top Bottom