Pre GE2025 Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kutafuta Mafekeche akiwaaga Wajumbe Ukumbini, "ninyi jengeni Siasa"

Pre GE2025 Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kutafuta Mafekeche akiwaaga Wajumbe Ukumbini, "ninyi jengeni Siasa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
... the only way CHADEMA can restore her eyesight is by wining bigly in the coming elections! ... otherwise it's gonna be, not only blind, but DEAF as well!
CHADEMA TERRIBLY NEEDED THAT EFFICIENT CHAGA BUSINESS LEADERSHIP AS A GOOD BOOST!
(MIND YOU, I HATE POLITICS! ... lakini "USIONE VYAELEA, VYAUNDWA!")
Not far from the truth. Lissu might have won the war, but lose the peace. To resuscitate CHADEMA, Lissu must win both War and Peace. And owing to his erratic and zero-sum behavior, he should earnestly pray to GOD for the wisdom of Solomon.

The party is headed towards murky waters, and Lissu must surround himself with a benevolent company. People who can boldy call out his madness.​
 
Ngojeni nikapige mzigo, nitafute wanaita Mafekeche, nikatafute fedha kwasababu tukifanya biashara sawa sawa tunatengeneza uchumi, ninyi jengeni Siasa, tutaendelea kusaidiana, tutaendelea kushauriana, wote lengo letu la kuijenga demokrasia katika nchi hii haliwezi kufifishwa na uchaguzi"💪🏿👌🏿🙏🏿💗❤💗❤💗
Nimejikuta nabubujikwa na machozi kama Lucas😊
Pole sana mkuu 💪
 
Not far from the truth. Lissu might have won the war, but lose the peace. To resuscitate CHADEMA, Lissu must win both War and Peace. And owing to his erratic and zero-sum behavior, he should earnestly pray to GOD for the wisdom of Solomon.

The party is headed towards murky waters, and Lissu must surround himself with a benevolent company. People who can boldy call out his madness.​
madness?
 
Hekima ni matendo siyo maneno. Angekuwa nayo asingegombea awamu hii.
Unaelewa faida ya kuwepo na uchaguzi wa namna hii?
Angekuwa hana hekima angeng'ang'ania madaraka.
Mngemfanya nini?
All in all, huu uchaguzi FAM&TAL walijua wanachokifanya.
 
ana uchungu moyoni ila hawezi kusema,sasa tusubiri matendo yake
Ni mapema kusema hayo.
Matendo yake yatategemea na namna mtakavyo mtreat.
Mkimtreat vibaya, atajikalia pembeni tu kuepusha kelele.
Uzuri ana pesa, mwenye pesa siyo mwenzako.
 
... the only way CHADEMA can restore her eyesight is by wining bigly in the coming elections! ... otherwise it's gonna be, not only blind, but DEAF as well!
CHADEMA TERRIBLY NEEDED THAT EFFICIENT CHAGA BUSINESS LEADERSHIP AS A GOOD BOOST!
(MIND YOU, I HATE POLITICS! ... lakini "USIONE VYAELEA, VYAUNDWA!")
chadema needed to change its political strategy, not financialy. The political approach they had was no longer working, they needed aggresive approach, there was one guy capable of doing that (LISSU)

No offence for chaga leadership,they didna good job but they are not needed anymore.

New generation needs new leadership and new approach
 
Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana baadae.

Pia, Soma: Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu

"Ngojeni nikapige mzigo, nitafute wanaita Mafekeche, nikatafute fedha kwasababu tukifanya biashara sawa sawa tunatengeneza uchumi, ninyi jengeni Siasa, tutaendelea kusaidiana, tutaendelea kushauriana, wote lengo letu la kuijenga demokrasia katika nchi hii haliwezi kufifishwa na uchaguzi"

Family yake ilisha mshauri hivyo, marafiki zake walisha mshauri hivyo huu ni umri wa kutulia, kufuatilia biashara zake nyingi tu na kushauri. Ametengeneza vijana ni wakati wao sasa
 
Unaelewa faida ya kuwepo na uchaguzi wa namna hii?
Angekuwa hana hekima angeng'ang'ania madaraka.
Mngemfanya nini?
All in all, huu uchaguzi FAM&TAL walijua wanachokifanya.
FAM hakujua anachokifanya.
Angelitambua mapema, angejua kuwa kupambana na wakati kutamharibia kuliko kumjenga.
Pale alipo hata akigombea ubunge kutoboa ni ngumu.
Huu uchaguzi umemchafua na kufanya asinadike.
 
Back
Top Bottom