Pre GE2025 Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kutafuta Mafekeche akiwaaga Wajumbe Ukumbini, "ninyi jengeni Siasa"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Asilimia 47 walimkataa Lissu. Kumbukeni hilo na muwe na adabu.

Amandla...
 
Mara paap, Freeman Aikaile Mbowe kahamia ccm.
 
Ngojeni nikapige mzigo, nitafute wanaita Mafekeche, nikatafute fedha kwasababu tukifanya biashara sawa sawa tunatengeneza uchumi, ninyi jengeni Siasa, tutaendelea kusaidiana, tutaendelea kushauriana, wote lengo letu la kuijenga demokrasia katika nchi hii haliwezi kufifishwa na uchaguzi"๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ‘Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ’—โค๐Ÿ’—โค๐Ÿ’—
Nimejikuta nabubujikwa na machozi kama Lucas๐Ÿ˜Š
 

Asilimia 47 walimkataa Lissu. Kumbukeni hilo na muwe na adabu.

Amandla...
Hawakumkataa,Dhahiri wanamkubali sana Lissu,Sema walilewa kwa Hongo za XChair.Lakini naamini kabisa wanachama na viongozi hata hao akina Boni yai wanajua shughuli ya Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ