Pre GE2025 Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

Pre GE2025 Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Aambiwe kuwa yeye hawezi kuisambaratisha CHADEMA hata afanyaje. Kama watu wa kariba ya kina Zitto Kabwe na Wilbroad Slaa walishindwa kuiteteresha CHADEMA, yeye ataweza kweli?
Ni sahihi kabisa

Mwenzie Dokta Slaa si huyo ameomba kurudi tena CHADEMA, hata yeye anaweza kurudi pia

Maana CCM wakishamaliza kukutumia lazima wakuache solemba
 
Yes. Hoja yangu je inaweza ikawa ni sehemu ya pingamizi. Yaani wakili wa utetezi akatuama kwenye hiyo "Technical Error" ili kufanya shauri litupiliwe mbali.

Maana nazikumbuka zile "Technicalities" kwenye Kesi ya CHADEMA dhidi ya Zitto Kabwe zilizowafanya CHADEMA wabutwae na kumpa Albert Msando umaarufu.
Hiyo ni barua tu mkuu, si sehemu ya nyaraka za kimahakama kwakuwa hatua hiyo ya mahakamani bado haijafika. Hatahivyo, barua hiyo itakuwa sehemu ya viambatisho vya Hati ya Madai (kama itafikia hatua ya mahakamani) kuonyesha kuwa hatua zilifuatwa.
 
Ni sahihi kabisa

Mwenzie Dokta Slaa si huyo ameomba kurudi tena CDM, hata yeye anaweza kurudi pia

Maana CCM wakishamaliza kukutumia lazima wakuache solemba
CCM ni chama cha Utulivu na amani, ukiwemo ukawekwa bench, Tulia kimya, elewa unapimwa imani, 😊, ukifaulu hapo elewa umefaulu. Kaa mkao, ona yule mkulima wa nyanya, mifano ni mingi sana.
 
Hiyo ni barua tu mkuu, si sehemu ya nyaraka za kimahakama kwakuwa hatua hiyo ya mahakamani bado haijafika. Hatahivyo, barua hiyo itakuwa sehemu ya viambatisho vya Hati ya Madai (kama itafikia hatua ya mahakamani) kuonyesha kuwa hatua zilifuatwa.
Jee aliyeandikiwa hawezi kusema shauri lisifunguliwe kwa kuwa barua haijakidhi vigezo?
 
Sasa kutajwa na msigwa tu alipwe bil5 siku akiwa rais huyo mbowe wenu wananchi si tutalipishwasana hozo bil5? Ina maana mbowe na wafuasi wenu hamna political tolerance?

Hiyo ni kesi ya Defamation. Maana Msigwa amemtaja mbowe kama mbowe
 
Back
Top Bottom