Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Shukrani ndugu mjumbe, nilikuwa sijaona hiyo 🤗amesema aombwe front page
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani ndugu mjumbe, nilikuwa sijaona hiyo 🤗amesema aombwe front page
Aambiwe kuwa yeye hawezi kuisambaratisha CHADEMA hata afanyaje. Kama watu wa kariba ya kina Zitto Kabwe na Wilbroad Slaa walishindwa kuiteteresha CHADEMA, yeye ataweza kweli?Nadhani akumbushwe kwamba asiache mbachao Kwa mswala upitao
LET SEE WHO IS MORE STRONG!
Ni sahihi kabisaAambiwe kuwa yeye hawezi kuisambaratisha CHADEMA hata afanyaje. Kama watu wa kariba ya kina Zitto Kabwe na Wilbroad Slaa walishindwa kuiteteresha CHADEMA, yeye ataweza kweli?
Solemba na Gundu juu. Leo hii kina Samson Mwigamba wapo wapi. Nani anayejali leo hii Vincent Mashinji anafanya nini huko alipo!?Maana CCM wakishamaliza kukutumia lazima wakuache solemba
Hata kwa Kinana alisema hivyo hivyo mwisho wa siku akamuangukia Kinana
Hiyo ni barua tu mkuu, si sehemu ya nyaraka za kimahakama kwakuwa hatua hiyo ya mahakamani bado haijafika. Hatahivyo, barua hiyo itakuwa sehemu ya viambatisho vya Hati ya Madai (kama itafikia hatua ya mahakamani) kuonyesha kuwa hatua zilifuatwa.Yes. Hoja yangu je inaweza ikawa ni sehemu ya pingamizi. Yaani wakili wa utetezi akatuama kwenye hiyo "Technical Error" ili kufanya shauri litupiliwe mbali.
Maana nazikumbuka zile "Technicalities" kwenye Kesi ya CHADEMA dhidi ya Zitto Kabwe zilizowafanya CHADEMA wabutwae na kumpa Albert Msando umaarufu.
hiviliko wapi hili jituMashinji
CCM ni chama cha Utulivu na amani, ukiwemo ukawekwa bench, Tulia kimya, elewa unapimwa imani, 😊, ukifaulu hapo elewa umefaulu. Kaa mkao, ona yule mkulima wa nyanya, mifano ni mingi sana.Ni sahihi kabisa
Mwenzie Dokta Slaa si huyo ameomba kurudi tena CDM, hata yeye anaweza kurudi pia
Maana CCM wakishamaliza kukutumia lazima wakuache solemba
Jee aliyeandikiwa hawezi kusema shauri lisifunguliwe kwa kuwa barua haijakidhi vigezo?Hiyo ni barua tu mkuu, si sehemu ya nyaraka za kimahakama kwakuwa hatua hiyo ya mahakamani bado haijafika. Hatahivyo, barua hiyo itakuwa sehemu ya viambatisho vya Hati ya Madai (kama itafikia hatua ya mahakamani) kuonyesha kuwa hatua zilifuatwa.
Nafikri Msigwa aliondoka Chadema na mimba ya Mbowe sasa Mbowe hataki kutoa hela ya matunzoKuna jambo gani kati ya Mbowe na Msigwa? Maana kila siku Msigwa ni kumrushia maneno Mbowe🤔
Anaweza Mkuu...katika kusumbua tuJee aliyeandikiwa hawezi kusema shauri lisifunguliwe kwa kuwa barua haijakidhi vigezo?
Tangu alipopata kura mbili (2) kwenye kura za maoni huko Kawe kwenye chama chao, sijawahi kujua CCM walimtupia kwenye jalala la wapi.hiviliko wapi hili jitu
Niliumia sana...dah..shenzi zakeTangu alipopata kura mbili (2) kwenye kura za maoni huko Kawe kwenye chama chao, sijawahi kujua CCM walimtupia kwenye jalala la wapi.
Msigwa ni mgonjwa wa akili. Mbowe atamburuta kisawa sawa
DEFAMATIONEbwanae, inaitwa kimbiza mwizi kimya kimya
Lakini Lisu alishasema hoja za msigwa zijibiwe.
Mahakama inaenda kusikiliza madai ya Mwenyekiti kwamba amechafuliwa.Zitajibiwa mahakamani
Sasa kutajwa na msigwa tu alipwe bil5 siku akiwa rais huyo mbowe wenu wananchi si tutalipishwasana hozo bil5? Ina maana mbowe na wafuasi wenu hamna political tolerance?
Sawa. Ndiyo nilitaka kujua. Maana kwenye mambo ya kesi mnaweza kutumia mwaka mzima kujadiliana mambo ya kiufundi tu bila ya kujadili hoja ya kesi yenyewe.Anaweza Mkuu...katika kusumbua tu