Freeman Mbowe anatosha kuwa Waziri wa viwanda na biashara, ni mtu wa mikakati anayejua mahitaji ya soko kwa wakati!

Freeman Mbowe anatosha kuwa Waziri wa viwanda na biashara, ni mtu wa mikakati anayejua mahitaji ya soko kwa wakati!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe.

Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana".

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nashauri apewe ubunge wa kuteuliwa, then tumpe mikoba hii.

Tutakuwa "tumeua" ndege wawili kwa jiwe moja.
#jr
 
Mbowe ni kati ya wanachadema wachache wanaojua kusoma alama za nyakati na kufanya mambo yenye faida tuu.... hakuna maslahi, hakuna Mbowe.

Uzoefu wake kwenye siasa anautumia vizuri
 
Nashauri apewe ubunge wa kuteuliwa, then tumpe mikoba hii..
Tutakuwa "tumeua" ndege wawili kwa jiwe moja.
#jr
Kabisa mkuu,

Hata mimi nashauri hivyo.

[emoji23][emoji23]
 
Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana mh Freeman Mbowe.

Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana"

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Hapana mkuu kila kitu mbowe ,hata Mimi nafaa kabisa .
Maendeleo hayana chama
 
Ngoja aimailishe kwanza kampuni yake ya chadema ltd, kwa sasa imeyumba kidogo ajitahdi japo kuisajiri kwenye soko la hisa.
 
Back
Top Bottom