johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kabisa mkuu,Nashauri apewe ubunge wa kuteuliwa, then tumpe mikoba hii..
Tutakuwa "tumeua" ndege wawili kwa jiwe moja.
#jr
Hata Simba walimsajili Morrison bwashee!
Ole sabaya anaenda kuwa msaidizi wa Jaji Mutungi pale ofisi ya msajili wa vyama vya siasa!kwanini msimpe OLE SABAYA? au Goodluck Milinga?
Ulitaka bei ziende chini?Tumechagua maendeleo SASA tunayasubiri, Mafuta ya Kula, saruji bei juu.
Nimesoma kichwa cha habari tu, unataka Mbowe ajitajirishe kwa rushwa?Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana mh Freeman Mbowe...
Hapana mkuu kila kitu mbowe ,hata Mimi nafaa kabisa .Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana mh Freeman Mbowe.
Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana"
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona Silinde tumechanganya na tochi inawaka!Mnataka mchanganye magunzi na betri za panasonic, unafikiri tochi litawaka ?