Freeman Mbowe anatutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga?

Ww bwana kwa taarifa hii hapana.tumeikataa
 
 
Acha matusi ndugu yangu, changia kwa hekima na busara bila matusi Wala kumdhalilisha mtu au kumvunjia heshima, Ndio maana unaona mimi hakuna nilipo tukana mtu Wala huwezi Nikita namtukana mtu
Wewe Itakuwa mtu wa Mbozi, Nawafahamu tabia zenu vizuri

Watu wa Mbozi Mbeya mna tofauti ndogo sana na wanyakyusa

Kama sio mndali wewe basi mtu wa Mikoa ya kanda hiyo Songwe, Mbeya au Rukwa

Mnajikomba huku mkiwa mna maisha màgumu hasa wanaume

Wanawake wenu wanapambana kutafuta Pesa Nyie ni umbea umbea tu kama uliouleta hapa

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Tangia lini ukweli ukaitwa umbeya? Acha ubaguzi wa kikanda utafubaza akili yako katika kufikiria, utabagua wangapi, dhambi ya ubaguzi Ni mbaya na haina mpaka, utajikuta unabagua Hadi ndugu zako
 

Wewe una tatizo sio dogo. Mbowe akikaa kimya mnamsema akiongea mnasema kuwa amaetukana.
 
Wewe una tatizo sio dogo. Mbowe akikaa kimya mnamsema akiongea mnasema kuwa amaetukana.
Tutamsema pale kinywa chake kikifunguka na kutoa maneno ya taharuki na kukosa heshima kwa mamlaka, hata samaki hunaswa na mvuvi Mara tu afunguapo kinywa chake
 
Hatahivyo wewe ni mjinha
 
Bila Shaka ulishayazoea matusi ya mh Mbowe kila unapotukanwa, Ila sisi watanzania tunasema atuache tuijenge nchi yetu maana tunajuwa yeye Mbowe anashinda Dubai

Wewe mnafiki, baadala ujiongelee mwenyewe unaongelea watanzania. Punguza uchobganishi, kesho mama Samiah akiondoa tozo ya mabenki utasemaje?. Kutafuta cheo kusikufanye utetee kunyonywa kwa raia wa nchi hii.
 
Tutamsema pale kinywa chake kikifunguka na kutoa maneno ya taharuki na kukosa heshima kwa mamlaka, hata samaki hunaswa na mvuvi Mara tu afunguapo kinywa chake

Maneno gani ya taharuki? Kupinga double taxation ni kosa. Huwezi kumtoza mpangaji Kodi ya Jengo na Kodi ya pango wakati Yale Ni makazi sio ya biashara. Wangemtoza mwenye nyumba maana ndio anafanya biashara.
 
Jambo jema au hoja ya ukweli haiangalii na Wala haipimwi Kama unavyotaka kutuaminisha,Nenda kasome habari za Galileo ndio utaelewa vyema hiki nachokueleza hapa

Tangu nione umeweka jina lako halisi, nikajua Kuna kitu unalenga. Ila hufai kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi. Maana unatetea hata Jambo la dhulma.
 
Kwani uongo?’ Ukweli mtupu
 
Acha ujinga wewe ndio unawaona waTanzania wote mafala! Hili linawaunganishajenwaTanzania kama umeiona tatizo liwe lako mwenyewe. Shida ni kutumwa kutoka Lumumba na ninyi ndio mnaodumaza Demokrasia na Maendeleo ya waTanzania mkidhani mwenye kuongea ni Fulani tuu huu ni ujinga mkubwa.
Ndio maana asilimia kubwa 80% ya Vijana wa wako mitaa na wanachojadili ni zero ushabiki jwa kujiunga badala kutafuta kujiendeleza. Watu wanapoleta hijab za kubadilika mkubali sio kuleta uzi pinganishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…