i miss tuntemeke institution...
Tuntemeke si ndio ACT team? Nyakarungu ni sehemu ya Tuntemeke
i miss tuntemeke institution...
Sasa 'imagine' amepewa nchi halafu kuna 'scandals' watu wameziibua!Mbowe ni mroho ws madaraka ukiutamani uenyekiti anakusukia zengwe ufukuzwe au anaku Chacha Wangwe.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
mbowe akiwa rais wa nchi hii naihama,labda lipumba au slaa au lissu ndani ya ukawa ila sio mbowe.
ni sheeda mtu anapotafuta chake anajifanya mvumilivu kwa jamii ya nje lakin hao waliondan ndo wanamjua vizur hamna lolote hapo anaroho ya paka huyo mtu mwizi tu huyo hana lolote hv ushawah kutapeliwa ww
Mbowe ni mroho ws madaraka ukiutamani uenyekiti anakusukia zengwe ufukuzwe au anaku Chacha Wangwe.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Huo ndio mtazamo wangu hatakama utaniona mjinga. Hadio leo hakujatolewa ushahidi wowote wa usaliti wa Zitto. Hayo ni makida ya Mbowe tu kung'ania kiti na bahati mbaya Wafuasi wengi wa chadema akili zao ziko mkoni kwa Mbowe, hawana uwezo wa kufikiri tofauti.Mijinga kama wewe inabidigi tuwazoee tu ni mizigo kweli kweli ila hatuna budi kwani inabidi tuwabebe tu daadekiii!!!!
rev christopher mtikila
muasisi wa mageuzi
muasisi wa magobacholi
muasisi wa katiba mpya
muasisi wa mgombea binafsi
hana vikashfa vidogovidogo
- kapambana na gwajima
- kapambana na kagame
- kapambana na jk
- haogopi madeni km ya rostam
- haigopi mahakama
- hawaogopi maaskofu wenzake
- haogopi vitisho vyovyote vya polisi hta tiss licha ya wanayarwanda alipowafichua njama zao

Mbowe akiwa rais wa nchi hii naihama,labda lipumba au slaa au lissu ndani ya ukawa ila sio mbowe.
Sifa kuu za mbowe ni tatu..
1) ana miliki DANGURO maenepo ya posta
2) ana tumbua hela za chama na kwenda kustarehe dubai ni KIMADA/HAWARA
3) ana MAKENGEZA
Sifa kuu za mbowe ni tatu..
1) ana miliki DANGURO maeneo ya posta
2) ana tumbua hela za chama na kwenda kustarehe dubai na KIMADA/HAWARA
3) ana MAKENGEZA