Freeman Mbowe apendekezwa mwanasiasa bora wa Upinzani

Akili za mwanadamu ziko kichwani mwake, ila kama unamkuta mwanadamu akili zake ziko sehemu za siri basi tegemea uchangiaji wa hoja wa aina hii.

Unataka tuwarudishe mafisadi wa lumumba? Nikikwangalia kwa mbali nakuona kama kamchwa tu wewe mikono ya sox

..... Hujielewi hata kidogo.! Eti anatumbua hela za chama. Hahahaha. Ungejua mbowe ana hela kuliko hata chama

Kuna uwongo hata moja hapo niliposema???
 
Siyo kujikojolea tu wengine wanapatwa na kale ka ugonjwa kabisa
Tatizo lako unasoma katioba ya chama kupitia makalio ndio maana huwezi ona tatizo
..... Hujielewi hata kidogo.! Eti anatumbua hela za chama. Hahahaha. Ungejua mbowe ana hela kuliko hata chama

ndio tatiza la akili ndogo kuziendesha akili kubwa
Mada muianzishe wenyewe
matusi mtutukane wachangiaji
haya changieni wenyewe na vilemba mvikeni wenyewe

maana kila atoaye WAZO kwenu ni tusi
 
Ikiwa ni takribani robo karne tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi nchini watu kadhaa wasomi na wanasiasa wamependekeza iwepo nishani maalum kwa mwanasiasa bora wa upinzani nchini.

Kati ya watu maarufu waliozungumza katika kipindi maalum cha VOA kuhusu upinzani Tanzania ni Professor Gaudence Mpangala na mwasisi wa mageuzi Dr Emmanuel Makaidi.

Aliyeonekana kung'ara katika wanasiasa wa upinzani ni Mwanasiasa Tajiri mwenye ukwasi mkubwa Freeman Aikael Mbowe.

Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa amependekezwa kutokana na sababu kubwa mbili;

Moja ni Kwa jinsi alivyokiongoza chama chake cha Chadema kutoka chama kidogo kabisa cha upinzani kuwa chama kikuu cha upinzani kinachokaribia kabisa kupokonya mamlaka ya dola.

Pili ni kutokana na uvumilivu wake.Imedaiwa Freeman Mbowe ndiye mwanasiasa mvumilivu zaidi Tanzania.Kiongozi huyu amedaiwa kupitia vipindi vigumu sana ndani ya chama chake kwa baadhi ya viongozi wake kurubuniwa na watawala na kuanzisha makundi ya uasi.Imeelezwa Freeman Mbowe mara zote amekuwa mvumilivu na kuwapa nafasi ya kujirudi maadui zake.

Tukio lililoelezwa la karibuni zaidi ni Uasi uliiingozwa na wanasiasa watatu ndani ya chama chake Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba.Waasi hawa walipanga kumpora mamlaka kwa njia ya mapinduzi na vijana wao walimtukana kila aina ya matusi Freeman Mbowe kupitia mitandao ya kijamii.

Hata hivyo ingawa mpango wao uligundulika mapema bado Freeman Mbowe aliwapa nafasi ya kujirudi na kuomba radhi.Ingawa walikataa kuomba radhi na kusonga mbele na hatua yao mpaka kamati kuu ilipowafukuzilia mbali.

Kuthibitisha uvumilivu wa Freeman Mbowe wanasiasa hao waliofukuzwa walikimbilia ACT na ikiwa hata haijapita miezi sita tayari wamefukuzwa kwa aibu kubwa kutoka ACT kwa madai yale yale waliyofukuzwa nayo Chadema.

Mbowe ni jembe. Wanaompinga ni wale waliotabiri CDM kuishiwa nguvu kabla ya2014 lakini ikawa kinyume chake chama kimesambaa kama mawimbi ya bahari.
 
Kuna uwongo hata moja hapo niliposema???

Jee uliyosema yanahusiana na mada au ni kuchafua tuu gumzo barazani? Mtu makini hupinga kwa hoja makini sio kuropoka yasiyohusiana.
 
Naona una horojoka tu

Courtesy of FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Tawireeee...Freeman ni kiongozi mzuri...napenda navyoweza kujenga hoja...kumbukumbu ya kariibu kabisa ni kwenye bunge lililopita alivyokuwa akitoa hoja murua kwenye sakata la ESCROW.
 
Mimi naunga mkono wanaosema Mbowe ni mwanasiasa bora na shupavu.
 
Tawireeee...Freeman ni kiongozi mzuri...napenda navyoweza kujenga hoja...kumbukumbu ya kariibu kabisa ni kwenye bunge lililopita alivyokuwa akitoa hoja murua kwenye sakata la ESCROW.

Kimsingi yeye ndiye aliokoa mjadala wa Escrow usivurugike
 
Mie siyo Mwanachadema but flankl speaking Mboye is among few Charismatic Leaders mwenye kujenga hoja makini pia aongeapo watu hutulia kwa ushawishi wake.
 
  • Thanks
Reactions: jme
Big Up kamanda mbowe Mungu akuepushe na majaga kama alivyokuepusha Ar.kwenye mlipuko wa mabomu
 
Hana elimu kubwa sana wala remarkable experiences kitaifa/kimataifa but what matters ni nini amekifanyia Cdm au taifa lake kwa nafasi hata ndogo aliyopewa? Alikitoa wapi Cdm,kiko wapi sasa?
 
Atayeipinga hii ni Zitto na CCM wenzake
 
Last edited by a moderator:
Mie siyo Mwanachadema but flankl speaking Mboye is among few Charismatic Leaders mwenye kujenga hoja makini pia aongeapo watu hutulia kwa ushawishi wake.
kitila akiisikia hiyo haipendi
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa, huyu jamaa ndie alieikuza CHADEMA, katoka nayo mbali, kaifanya CHADEMA kuwa chama chenye kuaminika kwa watanzania wengi na kuwa mbadala wa CCM. Mungu akupe Afya njema Mbowe, daima Watanzania tutakukumbuka
 
Ikiwa ni takribani robo karne tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi nchini watu kadhaa wasomi na wanasiasa wamependekeza iwepo nishani maalum kwa mwanasiasa bora wa upinzani nchini.

Kati ya watu maarufu waliozungumza katika kipindi maalum cha VOA kuhusu upinzani Tanzania ni Professor Gaudence Mpangala na mwasisi wa mageuzi Dr Emmanuel Makaidi.

Aliyeonekana kung'ara katika wanasiasa wa upinzani ni Mwanasiasa Tajiri mwenye ukwasi mkubwa Freeman Aikael Mbowe.

Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa amependekezwa kutokana na sababu kubwa mbili;

Moja ni Kwa jinsi alivyokiongoza chama chake cha Chadema kutoka chama kidogo kabisa cha upinzani kuwa chama kikuu cha upinzani kinachokaribia kabisa kupokonya mamlaka ya dola.

Pili ni kutokana na uvumilivu wake.Imedaiwa Freeman Mbowe ndiye mwanasiasa mvumilivu zaidi Tanzania.Kiongozi huyu amedaiwa kupitia vipindi vigumu sana ndani ya chama chake kwa baadhi ya viongozi wake kurubuniwa na watawala na kuanzisha makundi ya uasi.Imeelezwa Freeman Mbowe mara zote amekuwa mvumilivu na kuwapa nafasi ya kujirudi maadui zake.

Tukio lililoelezwa la karibuni zaidi ni Uasi uliiingozwa na wanasiasa watatu ndani ya chama chake Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba.Waasi hawa walipanga kumpora mamlaka kwa njia ya mapinduzi na vijana wao walimtukana kila aina ya matusi Freeman Mbowe kupitia mitandao ya kijamii.

Hata hivyo ingawa mpango wao uligundulika mapema bado Freeman Mbowe aliwapa nafasi ya kujirudi na kuomba radhi.Ingawa walikataa kuomba radhi na kusonga mbele na hatua yao mpaka kamati kuu ilipowafukuzilia mbali.

Kuthibitisha uvumilivu wa Freeman Mbowe wanasiasa hao waliofukuzwa walikimbilia ACT na ikiwa hata haijapita miezi sita tayari wamefukuzwa kwa aibu kubwa kutoka ACT kwa madai yale yale waliyofukuzwa nayo Chadema.

Sio wazo baya kwani tuzo ni ishara ya kutambua mchango wa mtu uliojipambanua kwa ubora katika jamii, na tuzo Kama hiyo itasaidia kuinua ari ya wanasiasa kufanya vizuri zaidi na kwa hiyo kuongeza kasi ya ukuaji wa demokrasia ya vyama vingi.

Angalizo: vigezo viwe wazi na kusimamiwa kwa uangalifu mkubwa ili washindani washindane kwa haki, hatutaki kusikia yake ya Bibi Bomba Mtemvu wa Lino agencies ya Hashimu Lundenga.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom