tulia wewe kubwa jinga,utamfananisha mbowe na kichwa nazi wako jk.
Mtu Tajiri Kama Mbowe kujihusisha na mapambano ya wanyonge ni heshima tosha, long live kamanda wetu
Siwezi kuwafananisha JK na aikaeli mboye. One of them is your president and the other is our music DJ
Nawe soma kwa tafakuri. Kama ni kiongozi bora wa upinzani kwa nini asiwe Rais kutoka upinzani? Huoni kwamba mkuu Molemo kama kawaida yake anapiga kampeni. Yaani upinzani una kiongozi bora anayejulikana halafu apendekezwe mwingine ambaye si bora, unadhani iko sawa hapo? Tafakatri utabaini!mbona unajipa taabu hivyo ndugu, amesema kiongoz bora wa upinzani..sasa mambo ya urais yanatoka wap hapo....
JK naye ni raisi ?????
Ama alipita tu kwa hisani ya ujinga wa watanganyika ila matokeo yake tunayaona sasa anakipeleka chama kaburini so zidimu fikra za mwenyekiti JK
Simpendi mbowe na chadema kiujumla
Nawe soma kwa tafakuri. Kama ni kiongozi bora wa upinzani kwa nini asiwe Rais kutoka upinzani? Huoni kwamba mkuu Molemo kama kawaida yake anapiga kampeni. Yaani upinzani una kiongozi bora anayejulikana halafu apendekezwe mwingine ambaye si bora, unadhani iko sawa hapo? Tafakatri utabaini!
molemo ni moja ya watu wapumbavu walioko chadema
Bila Freeman makini CHADEMA itayumba
Simpendi mbowe na chadema kiujumla
Muulize aikaeli mboye "rais wako nani?" kisha atakupa jibu.
molemo ni moja ya watu wapumbavu walioko chadema
... Namkubali jamaa, yuko vizuri sana. Wangekuwa na mtikila sijui ingekuaje