kaka wa wahuni
Maisha bora aliyozaliwa nayo Mbowe asingekuwa mzalendo tungekuwa tunasikia habari zake kama Kinje Kingunge au le Mutuz!jamaa full mzalendo.
Hii nikweli kabisa ni watanzania wachache sana wenye maisha mazuri wanaweza kujitoa kama Mbowe na kuwatayari kuatarisha hata maisha yake
Hii nikweli kabisa ni watanzania wachache sana wenye maisha mazuri wanaweza kujitoa kama Mbowe na kuwatayari kuatarisha hata maisha yake
Mbowe akiwa rais wa nchi hii naihama,labda lipumba au slaa au lissu ndani ya ukawa ila sio mbowe.
Mbowe ni mroho ws madaraka ukiutamani uenyekiti anakusukia zengwe ufukuzwe au anaku Chacha Wangwe.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
una mawazo mgando kama akili yako imeandikwa wapi mbowe anataka kugombea uraisi????
Huwa na mponda sana Mbowe humu ili kwa hoja zako kidogo naanza kumuelewa ila sasa upole wake usiwe na mahusiano na kuhongwa na watawala
mbona unajipa taabu hivyo ndugu, amesema kiongoz bora wa upinzani..sasa mambo ya urais yanatoka wap hapo....
Mbowe na John Mnyika hawawezi kuwa rais kwa sababu hawana degree.
Mbowe na John Mnyika hawawezi kuwa rais kwa sababu hawana degree.
Mbowe ni kiongozi mwenye ushawish sana, ata asimamapo bungen, wapunge wote hukaa kimia na kuanza kumsikiliza.
Mbowe ni zaidi ya Mwanasiasa bora wa upinzani... anastahili tuzo ya Mwanasiasa bora na mahiri wa Africa.
Kufanya siasa chini ya utawala wa serikali ya ccm isiyozingatia utawala wa sheria halafu chama chake bado ikachanua hivi siyo jambo la kawaida kabisa