Freeman Mbowe apendekezwa mwanasiasa bora wa Upinzani

Freeman Mbowe apendekezwa mwanasiasa bora wa Upinzani

Hana elimu kubwa sana wala remarkable experiences kitaifa/kimataifa but what matters ni nini amekifanyia Cdm au taifa lake kwa nafasi hata ndogo aliyopewa? Alikitoa wapi Cdm,kiko wapi sasa?

Wewe kwa mawazo yako utadhani ana elimu ndogo. Nakuhakikishia Uwezo wa akili ya Mbowe ni Level ya PHD, kupitia uzoefu wake wa uongozi amejifunza mengi. Kuifanya CHADEMA kuwa chama cha kitaifa si kazi rahisi, lakini bado mali na biashara alizorithi zimeendelea kukua. Huyu jamaa ana elimu kubwa tatizo anafanya nje ya mfumo wa elimu ndio maana mnadhani hana elimu. Mfano kuna mtu mmoja anaitwa Henry Ford mgunduzi wa magari, hakuwa na elimu lakini kwa ugunduzi wake na kazi zake ni zaidi ya Profesa
 
Naunga mkono hoja...jamaa yuko vizuri up stare zaidi ya hawa maprofessor uchwara wa kitanzania
 
watu wanasubiri af
e ndo wa mwage misifa lukuki Kwa Mbowe.
 
Mie siyo Mwanachadema but flankl speaking Mboye is among few Charismatic Leaders mwenye kujenga hoja makini pia aongeapo watu hutulia kwa ushawishi wake.

Hakika umekuwa mkweli wa nafsi yako.Mungu akubariki ukweli wako!
 
wengi hufikiri mbowe hajasoma .mbowe ni msome na ni kipanga .umasikini ndo unamfanya mtu kutambia vyeti na GPA ukiwa kwenye line ya mpunga halali mambo ya GPA unasahau unabaki na namna gani elimu itakusaidia wewe na jamii
 
Umenielewa vibaya,nilimreate Mboye kama kijana graduate was kitanzania am aye hakupitia mfumo was uongozi kama baadhi ya Mawaziri wet ambao tang enzi za Mwl wamekuwa mawazir but still huwezi kupima hata kwa futi nini wamefanya ukicompare name Mboye kwa Cdm,mfano idadi ya Wabunge,Madiwani,vitongoji name Mitaa kwa salsa,pia vijana wadogo we led I wamepewa nafasi kuproof wazee kama Komba wrong.
 
Kwani elimu ni akili! Elimu ni Kalamu tu Si Akili. chunguza! mbowe ni zaidi ya profesa
 
Mbowe ni mroho ws madaraka ukiutamani uenyekiti anakusukia zengwe ufukuzwe au anaku Chacha Wangwe.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk

CDM tunaakili Sana c kama wedawazimu wenu mnayaka mbowe aachie uenyekiti ili mumhonge huyo mnaemtaka na kusambaratisha chama kwa faida ya ccm
 
ndio tatiza la akili ndogo kuziendesha akili kubwa
Mada muianzishe wenyewe
matusi mtutukane wachangiaji
haya changieni wenyewe na vilemba mvikeni wenyewe

maana kila atoaye WAZO kwenu ni tusi
Matusi yapo lumumba maana wanafisadi mpaka hela zawalala hoi
 
Bila shaka Mbowe ni mwanasiasa bora na mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na siyo mpayukaji. Mimi binafsi napenda kutazama na kusikiliza speech zake kama Mwl Nyerere vile.

Tangu kuundwa kwa Taifa la serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania tofauti na Mwl Nyerere. Freeman Aikael Mbowe wa chama cha CDM , Ndiye Mwkt bora zaidi wa chama siasa kuwai kuwepo
 
Mie siyo Mwanachadema but flankl speaking Mboye is among few Charismatic Leaders mwenye kujenga hoja makini pia aongeapo watu hutulia kwa ushawishi wake.
mkuu hongera kwa kuwa mkweli bila unafiki
 
Mtu Tajiri Kama Mbowe kujihusisha na mapambano ya wanyonge ni heshima tosha, long live kamanda wetu
 
Huo ndio mtazamo wangu hatakama utaniona mjinga. Hadio leo hakujatolewa ushahidi wowote wa usaliti wa Zitto. Hayo ni makida ya Mbowe tu kung'ania kiti na bahati mbaya Wafuasi wengi wa chadema akili zao ziko mkoni kwa Mbowe, hawana uwezo wa kufikiri tofauti.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Kabla hujapanua domo nenda kwa wazazi wako uwaulize Kamanda Mbowe ni nani ( Watakujibu nizaidi ya mwanasiasa na ndio mtu peke atufa kutuongoza Tanzania)
 
Nadhani kuwaleta pamoja wanasisa wa upinzani 'Vyama vinavyounda Ukawa' ni sifa kuu niliyoitegemea katika hizo mbili
 
Mkuu jme thankx,jamaa ni jembe kweli,amewasababishia viongozi wengi balaa,kumbukeni.
 
Nadhani kuwaleta pamoja wanasisa wa upinzani 'Vyama vinavyounda Ukawa' ni sifa kuu niliyoitegemea katika hizo mbili

Ni kweli kabisa.Katika kuunda Ukawa hakutaka kujikweza kuonyesha kwamba anaongoza chama kikubwa zaidi
 
Back
Top Bottom