SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia.
Labda ameshasikia kwamba tarehe 23.09. ni siku ya JWTZ Kufanya usafi wa jiji.so ameona ratiba zingegongana🤣🤣🤣
 
UVCCM mme tumwa muanzishe propaganda nyepesi kiasi ichi
 
Vipi na wewe ni mnyonya damu mmojawapo nini? Maana kina Zumbe ambao hawajastaafu ndani ya jeshi la polisi kwao vurugu na virungu ni mtaji
 
Ni moja ya strategy za kujipanga upya ,kama viongozi wa chadema wanatekwa ili maandamano yasifanyike ni bora kuretreat na kujipanga uje na mikakati gani bora ili kuwalinda wapiganaji...Kupigan vita ni akili....Usipigane vita ambayo unajua unaenda kushindwa coz majembe yote yanahujimiwa.
 
Katikav
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia
Mbowe ndo anaikwamisha chadema, mbowe muoga sana na anapigania maslahi yake binafsi.

Chadema inahitaji mwenyekiti kama kina boby wine na kiiza besigye wa uganda ili kuongoza mapambano dhidi ya CCM.

kama mbowe ataendelea mwenyekiti chadema wasahau CCM kutoka madarakani. Mtu kama lisu ndo ana msimamo au hata hawa vijana kina heche na boni wanaknekana majasiri.. huyu mbowe hamna kitu kabisa
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ametangaza kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe 23/9/2024 mbele ya waandishi wa habari katika mkutano wa TDC ili kupisha mazungumzo yatakayofanyika baina ya viongozi wa dini na Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…