Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Mjue tu kuna delta variant, na Mbowe ameshachanjwa sasa nyie nendeni mkakongamane yeye anajua pa kujitibia🤣🤸🐒
 
Nchi ya kipuuzi sana....wananchi wake wanajadili katiba yao polisi wanawakamata shubaamit
Mkuu hapo ndipo hawa walinda usalama ninapo washanga!! Watu wapo kwenye kongamano, wajadili mustakabali wa maisha yao kwa kupitia KATIBA MPYA wewe unatimua tena kwa silaha za moto!!
HAPENDEZI
 
Hivi huwa kuna haja gani ya kuwavamia na kuwakamata watu wanaojadiri mambo ya siasa bila kutishia uvunjivu wa amani ya watu na mali zao? Huu woga wa Serikali chanzo chake ni nini?

I thought CCM na Serikali yao walijifunza the last time Lissu anarudi Nchini. Acha watu waandamane/wakutane/wateme nyongo zao na wafanye yao kisha warudi makwao kwa amani. Is that too difficult to understand?
 
Utakuwa unalambwa sana msambarabwanda wewe kwa uwandishi wako tu inajionyesha...Tayari ufunguzi longitaim
Mwanaume anayemshabikia mwanaume mwenzie kama wewe na huyo aliyeandika uzi ni lazima awe ameshaliwa tu huwezi mshabikia mwanaume hivyo akuacha salama
 
Kauli hizi ambazo ni kwa mujibu wa sheria na katiba iliyopo, ndizo ambazo huwa tutaelewana:



Aboubakar Mbowe hautakuwa peke yako. Wakitaka waibadili Kirumba stadium kuwa "a make shift" gereza.

Hii nchi ni yetu sote. Tufuate sheria na katiba. Hayupo mwenye kutaka shari.

Pole pole tutafika tu.
 
🤣🤣Yaani mh.Mbowe unamfananisha na mtemi ISIKE ?!! duuh watake radhi WANYAMWEZI.....

CHADEMA na mwendelezo wa CHOKOCHOKO kama zile zinazoendelea AFRIKA YA KUSINI....

Cha ajabu pamoja na AFRIKA YA KUSINI kuwa na katiba wanayoitaka CHADEMA(kipengele cha kumshtaki Rais wa nchi) bado hakikuwazuia KUFANYA VURUGU baada ya mh.Zuma kupelekwa rumande.

HII INAMAANISHA NINI ?!!!

Utamaizi kuwa katiba tuliyonayo haina matundu ya kurekebishwa Kwani CHADEMA hawawezi kuridhika na katiba yoyote ile.....kubwa lao ni kuingia tu IKULU NA KUTUTAWALA WATANZANIA....

Tusidanganyike na CHADEMA
Tusidanganywe na CHADEMA

#KatibaIliyopoNiNzuri
#TuacheChokochoko
 
🤣🤣Aboboubar Mbowe anajidanganya tu....

Watanzania wanataka hali Bora za maisha yao kama vile kuchukizwa na hii tozo ya fedha mitandao ya simu ambayo inakwenda kuondolewa....

Katiba MPYA ni kelele zisizokoma za kikundi kidogo cha wanasiasa.....
 
Police wao wameshatoa waraka wao?

Nasubilia waraka wa Maafande tulinganishe uzito unaangukia wapi
 
Mbowe is the best, anajua wakati gani atumie hekima hata kama wengi watamuona muoga, na wakati gani atumie nguvu, huyu chairman namuelewa sana.
🤣🤣Hana lolote huyo....

Mbona hakujitokeza pale UBUNGO kipindi kile baada ya uchaguzi wa 2020?!!

Nilitegemea awashauri wanawe wa kuzaa kumwakilisha katika yale MAANDAMANO MFU?!!!

Wanawe hawakujitokeza....

Na wala hawajitokezi katika makongamano na maandamano anayoitisha yeye na CHADEMA....

Ha ha ha wanasiasa hawa laghai sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…