Freeman Mbowe atangaza kufanya Makongamano ya Katiba mpya nchi nzima, la Mwanza kufanyika wiki hii

Mtoto wa teuzi huyo na maswali haya unamuonea sana!
Yeye anachujua bi, Chokochoko ni muislamu mwenzie basi. Hata mambo ya CCM anajionea tabu tu.
 
Mkuu ukiuita muungano wetu ni wa hiyari basi ujue kuna pande mbili juu ya hiyo hoja yako....

Lini Wazanzibari walipewa "white paper" wakapiga kura kuwe na muungano uliopo?!!!

Wapi na lini Watanganyika walipiga kura za maoni kuridhia huo muungano?!!!

Kilichopo ni viongozi wetu waandamizi.....waliokuwa na maono makubwa mno.....kutuunganisha....Hayati Karume na Hayati baba wa taifa.....

Naufanananisha muungano huu ADHIMU , BORA NA WA KIPEKEE na NDOA ZA ZAMANI ZA WABABU ZETU...ambao wazee waliunganisha UDUGU kwa kuwafungisha ndoa VIJANA WAO.....
Udugu huo ulizaa MAKABILA....
Udugu huo ulizaa kiitwacho "kula yamini ya damu"........

Mkuu Brazaj ,lini raia wa Marekani(US) walihojiwa juu ya Muungano wao?!!!!
 
Mbowe ametumia ujinga wa wanachama wake kujijengea mazingira mazuri ya kimaisha na kisiasa. Pia ametumia umasikini wao kama silaha au njia ya kuuza utu wao kwake. Wengi ni njaa ndo zinawasumbua.
Hakika mkuu....

Wakiongozwa na Mdude Nyagali na "aila" yake.....🤣🤣

Mh.Mbowe ni mwekezaji MKUBWA huko DUBAI,UINGEREZA na MAREKANI.......
 
Mtoto wa teuzi huyo na maswali haya unamuonea sana!
Yeye anachujua bi, Chokochoko ni muislamu mwenzie basi. Hata mambo ya CCM anajionea tabu tu.
Mtoto wa teuzi ni yupi ?!!

Dini inaingiaje hapa ?!!

Kwa hiyo tulipokuwa "staunch supporter" wa hayati JPM tulikuwa naye kidini ?

Ni huku Afrika ambako baadhi ya wajinga hutopea upumbavuni pale wanapokosa HOJA na kuamua kujibanza katika UPOPOMA wa hizo dini mbili za "kishabiki".....
 
Una kiwango kidogo Sana Cha akili wewe Jamaa.
Na hata busara yako iko chini mno.
Yaani Mkaruka ana kiwango kidogo cha fikra ?!!! Khaaaa 😲😲

Kweli nimeamini ninyi BAVICHA ,mnamsifia mtu kuwa si "mpogo wa fikra" pale tu ANAPOWIANISHA HOJA mtakazo ninyi daah ha ha ha 🤣🤣
 
Lakini uwezo wa kukufir*** ninao. Jichanganye, utatapika kisusio na mbege.
Yaani Mkaruka ana kiwango kidogo cha fikra ?!!! Khaaaa 😲😲

Kweli nimeamini ninyi BAVICHA ,mnamsifia mtu kuwa si "mpogo wa fikra" pale tu ANAPOWIANISHA HOJA mtakazo ninyi daah ha ha ha 🤣🤣
Huyu ndio Mkaruka wako Bibie, Brown?! Unamsifia mwenyewe umepata mume .! Kweli MaCCM ni kituko cha Ulimwengu.
 
Kwani umeelewa nini katika hicho kificho cha statement yake?!!

Hakuimalizia....kwa hiyo "wewe wasema"....

Halafu "unapomprovoke" mtu unategemea nini ?!!

Kwako wewe wenye fikra kuntu huwa hawatukani....Khaaa 😲😲

Mkuu mimi ni wa kiume....na si bibie.... hopefully umeelewa!
Huyu ndio Mkaruka wako Bibie, Brown?! Kweli MaCCM Mnapuyanga tcha
 
Nchi ya kipuuzi sana. Wananchi wake wanajadili katiba yao polisi wanawakamata shubaamit
Nchi yoyote ina miiko yake nyang'au we.

Mnadhani nchi inaendeshwa kwa kila mmoja kuongea ongea awezalo?
 
Tena nashauri afanye kila wilaya.
Tunataka Katiba mpya hatutaki poyoyo!!
 
Mkuu unasali kwa Gwajima ?
 
Mimi nilifikiri anasema kesho maandamano.

Yale yale, unasema halafu unasikilizia UPEPO 🤣
Naona umeamua kuchukua nafasi ya 'Magonjwa mtambuka, au YEHODA au Kawe Alumni', kama siyo wewe uliyekuwa ukiyatumia majina hayo!

Umejipambanua kwelikweli safari hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…