Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe atia nia kugombea urais kupitia CHADEMA

Mwamba acha agombeee mara nyingine, ila nawaza Lissu inakuwaje asaa
 
Mkuu mh. mbowe hawezi akaacha ubunge agombee uraisi.

Anawapa motisha tu vijana.
Una akili sana.Mbowe hana mpango wa uraisi bali lengo ni kuongeza hamasa na pia kuonyesha demokrasia ndani ya CHADEMA ilivyo na hasa pale atapokosa hiyo nafasi yeye kama mwenyekiti na huo utakuwa ni uthibitisha kuwa yeye si dikteta kama inavyosemwa na ma-CCM na ndio maana kakosa licha ya yeye kuwa mwenyekiti.

CHADEMA ina watu very strategic katika kufanya siasa.
 
Mbona nilisikia hajafika kule wanapo ita mlimani na sifa ya Raisi kikatiba ni Lazima awe na jiwe (Degree) angalau moja - iliyo patikana kwenye Chuo Kikuu cha hapa nchini ila kama ni Chuo cha nje ya nchi lazima kiwe kinatambuliwa na TCU
 
Africa tutakuwa watu wa ajabu sana,ni nchi moja tu barani Africa inayoongozwa na DJ, nayo ni Madagascar chini ya andry Rajoelina sasa naona DJ mbowe anataka atembelee nyota ya DJ mwenzake wa Madagascar.

Anajidanganya,Tanzania bado sana hatujafikia kiwango cha kuongozwa na DJ ,yeye akafufue tu club billcannaz yake,huko atapiga mpunga mrefu sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
mkuu Rais wako alituma ndege ziende kuchukua dawa ya corona kwa huyo DJ wa Madagascar😂😂😂😂
 
Kumbe kule mlipokwenda kuchukua kikombe
Africa tutakuwa watu wa ajabu sana,ni nchi moja tu barani Africa inayoongozwa na DJ, nayo ni Madagascar chini ya andry Rajoelina sasa naona DJ mbowe anataka atembelee nyota ya DJ mwenzake wa Madagascar.

Anajidanganya,Tanzania bado sana hatujafikia kiwango cha kuongozwa na DJ ,yeye akafufue tu club billcannaz yake,huko atapiga mpunga mrefu sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hata wewe ukiamua unaweza kuchukua fomu ugombee ila jihadhari jiwe asije akakuvunja miguu

Back
Top Bottom