henry kilenga
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 1,329
- 1,117
Ufipa watapinga[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana someni kwa umakini. Katiba ya JMT haisemi hivyo. Hii ni katiba ya CCM waliyojiwekea wenyewe. Kwani Msigwa Ana degree? Mbona hukuhoji Msigwa unahoji Mbowe?Najua katiba ya JMT inasema Rais lazima awe na degree angalau moja. Sasa Mh. Mbowe kasoma lini kupata hiyo sifa?
We Chopa una shida gani??Labda kwa vile anapigiwa kelele kwa kukandamiza demokrasia chamani,kaona azuge kugombea halafu ashindwe ili kuaminisha watu kuna demokrasia ndani ya chama!! Nadhani ndio mpango wa DJ huu
Wewe nani umoangie wakati wa.kusema?Aliahidi kutoa taarifa rasmi ya kuvamiwa pale Dodoma pindi atakapotoka hospitali. Ameshatoa hiyo taarifa?
CCM siyo chama cha siasa Bali ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya dola kutawala.Hivi kuna chama cha upinzani cha kuishinda CCM kwa sasa? Kwa mikakati ipi hasa? Mwaka 2015 walibadilishia gia angani, wakakaribisha mafisadi ndani ya umoja wao wa UKAWA. Wananchi waliwaunga mkono sana mwaka ule, ila wamewavunja moyo waliowaunga mkono kwa kufanya maamuzi ambayo hayakuwa na tija. Waache tamaa na ubinafsi
Wakae chini, waangalie walipojikwaa na kupanga mikakati thabiti ya muda mfupi na mrefu ya kushinda uchaguzi. Kukishinda chama kilicho na dola na ambacho kimekaa madarakani kwa miaka mingi si jambo rahisi.
Duh.Hawezi kutoa taarifa yoyote. Familia haimwamini Tena. Majirani wanasema mwanae kasusa kaondoka sababu kwanini baba Yake kaumia taarifa hakumpa kakimbilia nyumba ndogo!
Mwenyekiti wa Chadema na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mh Mbowe leo ameandika barua rasmi ya kutia nia ya kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Chadema.
Hii inafanya jumla ya wanachama walio tia nia kugombea nafasi ya Urais Tanzania kupitia Chadema kufikia wanne baada ya Tundu Lissu, Peter Msigwa na Lazaro Nyalandu kutangaza nia siku chache zilizopita.
My take.
Kama kweli mh Mbowe ana nia ya dhati basi ni rasmi sasa Chama kitampitisha kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyang'anyilo cha Urais, sidhani kama Kuna mtu atakuwa na ubavu wa kupiga kura ya hapana kumkataa mwenyekiti asipewe nafasi hiyo.
Tundu Lissu ajiandae upya kwa awamu nyingine.
Swali ni je mh Mbowe anatosha kwa nafasi hiyo ya Urais?
Ushawishi wake kwa watanzania ukoje?
Ana sera zenye nguvu za kushindana na Magufuli.?
Mwisho nitoe pongezi kwa Chadema kwa kuwa na Democrasia imara.
Swali ni je mh Mbowe anatosha kwa nafasi hiyo ya Urais?
sidhani kama Kuna mtu atakuwa na ubavu wa kupiga kura ya hapana kumkataa mwenyekiti asipewe nafasi hiyo.
watu nne ndiyo democracyDemokrasia tupu ndani ya Chadema !
Wanachadema? Yaani mmiliki wa Chadema mtamkata?Kwani akigombea lazima apitishwe? So mchujo utafanyika? Nashauri chadema waweke mdahalo Wa wagombea wote live, wananchi tuchuje na wanachadema kiujumla.
Mbowe anajua akigombea ubunge hawezi kupata na itakuwa aibu Sana kwake na kwa chama chake. Lakini akigombea urais anajua akikosa haitakuwa aibu kwake na kwa chama chake.Mwenyekiti wa Chadema na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mh Mbowe leo ameandika barua rasmi ya kutia nia ya kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Chadema.
Hii inafanya jumla ya wanachama walio tia nia kugombea nafasi ya Urais Tanzania kupitia Chadema kufikia wanne baada ya Tundu Lissu, Peter Msigwa na Lazaro Nyalandu kutangaza nia siku chache zilizopita.
My take.
Kama kweli mh Mbowe ana nia ya dhati basi ni rasmi sasa Chama kitampitisha kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyang'anyilo cha Urais, sidhani kama Kuna mtu atakuwa na ubavu wa kupiga kura ya hapana kumkataa mwenyekiti asipewe nafasi hiyo.
Tundu Lissu ajiandae upya kwa awamu nyingine.
Swali ni je mh Mbowe anatosha kwa nafasi hiyo ya Urais?
Ushawishi wake kwa watanzania ukoje?
Ana sera zenye nguvu za kushindana na Magufuli.?
Mwisho nitoe pongezi kwa Chadema kwa kuwa na Democrasia imara.
Abaki kwenye ubunge atapita .
Wewe ndo utamzuia kupita ubunge wa Hai!!Mbowe anajua akigombea ubunge hawezi kupata na itakuwa aibu Sana kwake na kwa chama chake. Lakini akigombea urais anajua akikosa haitakuwa aibu kwake na kwa chama chake.
Mbowe hayupo serious, mwisho wa siku wagombea wote watajitoa na kumwachia yule "mkimbizi". Kinachotafutwa hapa ni Kiki kuwa chama kina demokrasia!
Vepe wewembona hueleweki?Mwenyekiti wa Chadema na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mh Mbowe leo ameandika barua rasmi ya kutia nia ya kugombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupitia Chadema.
Hii inafanya jumla ya wanachama walio tia nia kugombea nafasi ya Urais Tanzania kupitia Chadema kufikia wanne baada ya Tundu Lissu, Peter Msigwa na Lazaro Nyalandu kutangaza nia siku chache zilizopita.
My take