Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe atia nia kugombea urais kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe atia nia kugombea urais kupitia CHADEMA

Chadema wameshindwa kusoma alama za nyakati
Wameniangusha kweli awamu hii ni ya kuwania kiti hicho?..
Walipaswa kujipanga na kuwaandaa wanachama kuingia katika kiti hicho 2025...kwa sasa wangepigania viti zaidi bungeni
 
Mbona nilisikia hajafika kule wanapo ita mlimani na sifa ya Raisi kikatiba ni Lazima awe na jiwe (Degree) angalau moja - iliyo patikana kwenye Chuo Kikuu cha hapa nchini ila kama ni Chuo cha nje ya nchi lazima kiwe kinatambuliwa na TCU
Hakuna cha TCU wala nini, vyuo vinavyotambulika duniani vinabaki hivyo. Nisome Harvard kisha nirudi hapa uniletee mambo ya TCU sijui nini?
 
Africa tutakuwa watu wa ajabu sana,ni nchi moja tu barani Africa inayoongozwa na DJ, nayo ni Madagascar chini ya andry Rajoelina sasa naona DJ mbowe anataka atembelee nyota ya DJ mwenzake wa Madagascar.

Anajidanganya,Tanzania bado sana hatujafikia kiwango cha kuongozwa na DJ ,yeye akafufue tu club billcannaz yake,huko atapiga mpunga mrefu sana

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hutaki DJ unataka intapelenyua?
 
Kumbe kelele za akina Sumai na yule Mwambi zimebadili muelekeo, hadi mwenyechair anatia nia halafu akatwe kumpisha Lisu hii inamshikeli angewaachia aki pr , ujue akipigwa chini maana yake hakubaliki ndani ya chama
 
Msiojua siasa kaeni pembeni. Hapo kuna hesabu kali sana
 
Hawezi kupitishwa. Hiyo ni kiki nyingine baada ya ile ya nyagi kubuma. Hapo anataka nyumbu wasahau kuwa yeye ni sultani na waamini kwamba chadema kuna demokrasia. Eti kwakuwa Mbowe kashindwa kwenye kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea uraisi
Hatashindwa! Yuko determined
 
Najua katiba ya JMT inasema Rais lazima awe na degree angalau moja. Sasa Mh. Mbowe kasoma lini kupata hiyo sifa?
Mkuu kifungu gani hicho kinachosema hivyo? Kama huna ushahidi basi jua kuna kingine kinasema lazima uwe na elimu ambayo siyo ya janja janja lakini hakifuatwi pia.
 
Ni haki yake kikatiba na haki ya yeyote pia,ila Chadema wasimchague yeyote kati ya Lisu wala Mbowe kwa wakti huu,huu ni wakati wa kuwekeza kisiasa na kuwasoma CCM zaidi kuanzia katika mipango yao na njia wanazotumia kupata wagombe wao wa uraisi.
 
Mbona nilisikia hajafika kule wanapo ita mlimani na sifa ya Raisi kikatiba ni Lazima awe na jiwe (Degree) angalau moja - iliyo patikana kwenye Chuo Kikuu cha hapa nchini ila kama ni Chuo cha nje ya nchi lazima kiwe kinatambuliwa na TCU
Una miaka mingapi kijana.

Kama huna hii habari waambie huko kijijini kwenu

Mbowe aligombea urais na Kikwete mwaka 2005.

Huenda ulikuwa haujazaliwa. Sasa jiulize aliwezaje kugombea wakati hana vigezo
 
Back
Top Bottom