Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe atia nia kugombea urais kupitia CHADEMA

Najua katiba ya JMT inasema Rais lazima awe na degree angalau moja. Sasa Mh. Mbowe kasoma lini kupata hiyo sifa?
Vijana someni kwa umakini. Katiba ya JMT haisemi hivyo. Hii ni katiba ya CCM waliyojiwekea wenyewe. Kwani Msigwa Ana degree? Mbona hukuhoji Msigwa unahoji Mbowe?
 
Naona kabisa huyu mbowe anakuja kumualibia Lissu kwenye Kura za maoni
 
Aisee hapo ni shida . Si ndo yule aliyelewa juzi Kati mpaka kadondoka au. Hapo upinzani unatipika.
 
Labda kwa vile anapigiwa kelele kwa kukandamiza demokrasia chamani,kaona azuge kugombea halafu ashindwe ili kuaminisha watu kuna demokrasia ndani ya chama!! Nadhani ndio mpango wa DJ huu
We Chopa una shida gani??
CDM wagombea wote wanatia nia atayepitishwa chama ndiye mgombea.
Sasa wewe inakuhusu nini, huko CCM pamoja na Pole pole kutoa greenlight hakuna anaye jitokeza, wote nyweee!!
Upo Mr Chopa, tupe majina bila kumsahau Bwn Membe!!
 
CCM siyo chama cha siasa Bali ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya dola kutawala.
 
Swali ni je mh Mbowe anatosha kwa nafasi hiyo ya Urais?

Hatoshi.

sidhani kama Kuna mtu atakuwa na ubavu wa kupiga kura ya hapana kumkataa mwenyekiti asipewe nafasi hiyo.

Sasa unapongeza Demokrasia ipi?
 
Mbowe anajua akigombea ubunge hawezi kupata na itakuwa aibu Sana kwake na kwa chama chake. Lakini akigombea urais anajua akikosa haitakuwa aibu kwake na kwa chama chake.
Mbowe hayupo serious, mwisho wa siku wagombea wote watajitoa na kumwachia yule "mkimbizi". Kinachotafutwa hapa ni Kiki kuwa chama kina demokrasia!
 
Wewe ndo utamzuia kupita ubunge wa Hai!!

Huyo mento mliyemweka pale ndo atapiga kura??

Kwa taarifa yako hata huyo Dr mliye mhonga uwaziri hatarudi labda muibe kura!!
Mnadhani Watanzania ni wajinga??

Mnawahonga hao na kuwanunua wapiga kura wanawaangalia tu na sarakasi zenu!!
Labda muibe kura Ndg, elewa hivyo!!
 
Vepe wewembona hueleweki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…