Elections 2015 Freeman Mbowe atoa msimamo mzito kuhusu wanaoasi mageuzi

Yani huyu Lowasa anavyo niudhi mimi basi tu. Nilivyokuwaga namchukia eti ni FISADI basi tu.

Sasa hivi nampendaaaaaaaaa huyu LEIGWANANI na KURA ZANGU ZOTE ni kwake tu.
Jana nimekaona kale kababu kanaongea StarTV - CCM nikajikuta nazima TV.

Kamekuwa KAYUDA 100% kale kababu.
Yani kababu pap.uchi inakafanya kasaliti TAIFA zima kweli???!!!
Haka kababu sasa ndo nakachukia kuliko nilivyowahi kumchukia FISADI yeyote.

Nasema hivi hata akija NJOKA MWENYE MAKENGEZA MSAKA PESA akataka MABADIRIKO nje ya CCM kura zangu ntampa kwa wingi na wakitokea kina SLAA(YUDA) 10,000 ndani ya CCM NITAWAPINGA hata kwa gharama ya maisha YANGU.

HAPA NI MABARIRIKO TU na LOWASA ndiye Kamanda mstari wa mbele mwaka huu.
25/10/2015 ni KUWACHINJA CCM + SLAA + LIPUMBA + POMBE.
 

Mkuu, mbona unamponda Dr. Mihogo kiasi hicho
 
Binadamu kuwa na misimamo ni jambo zuri lakini dume zima na mbegu zako kuandika hapa eti bora uchague gogo au jiwe ni ujinga. Watu wanasubiri mpaka mitano ili kupata nafasi ya kushindanisha watu bora kuwa viongozi. Hii ni nafasi hadimu.
Hivyo nashauri nyie wa magogo na sijui mawe ya kusugulia miguu mtupishe.
 
Mbowe is right!!!! Kamwe mageuzi hayataletwa na mtu mmoja. Yeyote atakaejifikiria yuko zaidi ya chama na aachwe aendelee na safari yake binafsi. Dr alitangaza kaacha siasa, kinachotushangaza kutwa kuchwa yuko kwenye media. Tuheshimuni kazi yake na tumuombee kwa Mungu amsaidie katika kazi yake mpya aliyoianzisha. Mapambano na yaendelee,hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Mbowe amesema chama siyo mali ya mtu ni mali ya wanachama kwa hiyo ajitayarishe kuondoka kwani hajawaambia viongozi wenzake ukweli kuhusu mchakato wa kumpokea fisadi lowasa. Viongozi mwongo hafai!

Unategemea kabisa Lumumba nao wakulipe kwa hili? Anza kutafuta ajira sio mbali nao Lumumba hawatakuwepo.
 
Kwanini alidaganya watanzania kiwa Dr yuko likizo?

Na wewe humu kakukaribisha nani? Jukwaa hili ni la magreat thinkers/critical thinkers only.Kama unaweza kuhoji hayo mbona hujiulizi kama hakuwa likizo mbona mishahara ya kila mwezi alikuwa anachukua?,gari la ofisi alikuwa nalo akilitumia na hata ulinzi nyumbani kwake ulikuwa wa chama? Jf majukwaa ni mengi.
 

Amepotea njia aende fb
 
Ukawa ni gari iliyo speed na haina kuchimba dawa, ukibanwa na haja ruka kutokea dirishani kama mzee slaa

Padri aliyeshindwa utumishi

Teheeeeeeee teheeeeeeewww.Wengine tunamimina kwenye chupa za maji maana tusije tukaachwa mbugani kwenye mashamba ya mihogo.Nasikia babu aliona shamba la mihogo ikabidi ajirushe diroshani na kuwaacha wenzie.
 
Hahahahahahah mkuu, kwamaana hiyo unataka kusema kabanwa na kurukia Dirishani kisha kusambaratika viungo? Hili ni balaa!!

BACK TANGANYIKA

Alishindwa kuvumilia baada ya kuona shamba la mihogo ikabidi ajirushe dirishani.Mzee wa mihogo mibichi ndio maana anapenda sana totoz kuliko ibada.
 
 
Inavyoonekana dharau zitaigharimu CCM, haswa kumdharau Freeman Mbowe, huyu ni mtu anayejua definition ya SIASA, si rahisi kumwelewa anabadilika badilika mithili ya litmus paper, anatishia uhai wa CCM.
 
Inavyoonekana dharau zitaigharimu CCM, haswa kumdharau Freeman Mbowe, huyu ni mtu anayejua definition ya SIASA, si rahisi kumwelewa anabadilika badilika mithili ya litmus paper, anatishia uhai wa CCM. Mods msiunganishe huu uzi

Ccm ishajimalizikia tu na hata ukiwapa mawazo mazuri hawatakusikia
 
HE KNOW HOW TO PLAY!
SI HATARI UNAYOFIKIRI WEWE!
KARATA NI JINSI YA KUZICHANGA!
BIG BRAINS
ii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…