S Sir Leem JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 584 Reaction score 125 Mar 8, 2024 #41 Ingekuwa ndiyo mwana ccm hapo pangewaka moto kwenye hii forum
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 9, 2024 #42 Wanampa njia ya kuingia kwenye siasa... Cc: Mahondaw
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Mar 9, 2024 #43 Msela Wa Kitaa said: Dawa ya deni ni kulipa.... Click to expand... Hiyo ni kauli pendwa ya Erythrocyte 😎😎
Msela Wa Kitaa said: Dawa ya deni ni kulipa.... Click to expand... Hiyo ni kauli pendwa ya Erythrocyte 😎😎
Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 7,482 Reaction score 7,957 Mar 9, 2024 #44 Theironbutterfly said: Mbowe aache usanii alipe hiyo hela,mil 62 kwake si kitu👌kiongozi gani unakuwa dhulumati? Ndo anataka uongozi wa nchi huyu?🤣🤣🤣 Watumishi watalipwa mishahara kweli kwa style yake hii?? Click to expand... Ukimkuta anavyoropoka majukwaani utadhani ni mtu mwema
Theironbutterfly said: Mbowe aache usanii alipe hiyo hela,mil 62 kwake si kitu👌kiongozi gani unakuwa dhulumati? Ndo anataka uongozi wa nchi huyu?🤣🤣🤣 Watumishi watalipwa mishahara kweli kwa style yake hii?? Click to expand... Ukimkuta anavyoropoka majukwaani utadhani ni mtu mwema