Freeman Mbowe atua Mahakamani kunusuru nyumba ya mtoto wake

Freeman Mbowe atua Mahakamani kunusuru nyumba ya mtoto wake

Mbowe aache usanii alipe hiyo hela,mil 62 kwake si kitu👌kiongozi gani unakuwa dhulumati?
Ndo anataka uongozi wa nchi huyu?🤣🤣🤣
Watumishi watalipwa mishahara kweli kwa style yake hii??
Ukimkuta anavyoropoka majukwaani utadhani ni mtu mwema
 
Back
Top Bottom