Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Magereza hata uniform zao zimepauka kwa ajili ya kutelekezwa na CCM lakini bado wanajikomba tu!
 
-
“...Mimi na viongozi wenzangu waandamizi tulipohudhuria sherehe za Uhuru uwanja wa Kirumba Mwanza nilipopewa nafasi ya kusalimia na nikamtaka rais aone ulazima wa kutengeneza maridhaino kuleta maridhiano… alisema nimesikia”.Mhe.Mbowe.
 
"Natangaza rasmi kuwa kuanzia mwezi ujao wa nne tutaanza kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima bila kujali kuna katazo la Rais Magufuli na tuko tayari kwa lolote, tumekuwa waungwana vya kutosha na sasa hatutarudi nyuma kwenye hili'' - Freeman Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…