Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

“..Kuanzia tarehe 4 April hatutasubiri kibali cha mtu yoyote tutaanza mikutano nchi nzima, na kwa kauli nawatangazia viongozi wote wa Chadema tuanze kufanya mikutano ya hadhara...tukidai vitu viwili,Tume huru ya Uchaguzi na maandalizi ya uchaguzi”.Mbowe.
 
Hotuba imejaa majigambo, chuki binafsi kwa serikali, viashiria vya ukabila na uvunjifu wa amani. Hakuna mkakati mbadala wa kisera aliouzungumzia zaidi ya tambo za kufanya mikutano na kulalamika badala ya kujikita kwenye sera mbadala ambazo wapinzani wanaziamini.

Pia kadanganya kuhusu akina Halima. Kwa hotuba hii CCM ni chama pekee kinaendelea kubaki na mikakati mathubuti ya kuinua uchumi wa watanzania.
 
-"Nawatangazia viongozi wote wa Chadema nchi nzima kuanzia Majimbo, Kanda, Kata, Vijiji na Mitaa kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima, kwanza ni kudai tume huru na pili ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu"Mbowe
 
“..Kuanzia tarehe 4 April hatutasubiri kibali cha mtu yoyote tutaanza mikutano nchi nzima, na kwa kauli nawatangazia viongozi wote wa Chadema tuanze kufanya mikutano ya hadhara...tukidai vitu viwili,Tume huru ya Uchaguzi na maandalizi ya uchaguzi”.Mbowe.
Uzuri mpaka uchagani walishawastukia uongo wenu, kauli yake haina tofauti na kauli ya mlevi kutishia nitakufumua huku mwenyewe hata kusimama hawezi. Taasisi anayoishutumu ni kubwa kuliko mtu na haitalegeza msimamo wa kulinda amani.
 
"Nawatangazia viongozi wote wa Chadema nchi nzima kuanzia Majimbo, Kanda, Kata, Vijiji na Mitaa kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima, kwanza ni kudai tume huru na pili ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu"Mbowe
Uzuri mpaka uchagani walishawastukia uongo wenu, kauli yake haina tofauti na kauli ya mlevi kutishia nitakufumua huku mwenyewe hata kusimama hawezi. Taasisi anayoishutumu ni kubwa kuliko mtu na haitalegeza msimamo wa kulinda amani.
 
Mbowe anazidi kupungukiwa uwezo wa kufikiri!! Au pia washauri wake ni useless!!
Kutangaza mikutano ya hadhara kwenye kipindi hiki ni uwendawazimu.

Mkipigwa mnalialia majeshi yanawaonea!! Kweli kwa tension ya Corona nyie mnataka muendeshe mikutano!!?? You ain't serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hotuba imejaa majigambo, chuki binafsi kwa serikali, viashiria vya ukabila na uvunjifu wa amani. Hakuna mkakati mbadala wa kisera aliouzungumzia zaidi ya tambo za kufanya mikutano na kulalamika badala ya kujikita kwenye sera mbadala ambazo wapinzani wanaziamini. Pia kadanganya kuhusu akina Halima. Kwa hotuba hii CCM ni chama pekee kinaendelea kubaki na mikakati mathubuti ya kuinua uchumi wa watanzania.
Hua hamuoni mbali,soma hapa:

Wanasiasa wa upinzani wakishazoea kukaa jela au mahabusu,hawakuwa na hofu ya kuhamasisha wafuasi wao kuandamana na kufanya mambo mengine ya aina hiyo
 
Hotuba imejaa majigambo, chuki binafsi kwa serikali, viashiria vya ukabila na uvunjifu wa amani. Hakuna mkakati mbadala wa kisera aliouzungumzia zaidi ya tambo za kufanya mikutano na kulalamika badala ya kujikita kwenye sera mbadala ambazo wapinzani wanaziamini. Pia kadanganya kuhusu akina Halima. Kwa hotuba hii CCM ni chama pekee kinaendelea kubaki na mikakati mathubuti ya kuinua uchumi wa watanzania.
serikali ya awamu ya 5 98% ni wasukuma kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom