Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

bagamoyo,
Mh. Mbowe muhuni sana, anajua kabisa kuna COVID 19 ila anahamasisha uvunjifu wa amani, yaani hajasikika hata akitoa tahadhari juu ya COVID 19, yaani kweli Mh. Mbowe ni zaidi ya Mr. Zero
 
Mimi nikiwa jela kule nikiwa shambani zimepigwa risasi zaidi ya 13, za moto,wanapambana na Halima Mdee, Ester Bulaya, na Jesca Kishowa, hawa ni wamama, hata katika sheria za magereza wanaoruhusiwa kushughulika na wanawake ni wanawake tu,blakini hapa ni wanaume wenye vifua, wenye silaha, wanamshughulikia Halima wamemuweka mtu kati”. Mhe. Mbowe.

Hapa ndo huwa namkumbuka Charles Mloka na kauli yake kwenye vitabu vyake kwamba" when it comes to politics everything is politics"

Hawa wapinzani kama hivi ndo wanajidanganya wanadai haki waendelee, huko ni zaidi ya kutafuta huruma, hovyo kabisa

Ni aibu kwa mtu mzima kwa utter such a fallacious statement!! Hivi wapinzani wanashindwa kutafuta other mechanism to deal with CCM??? Kweli mtu mzima unaitisha mikutano kila mkutano ni yale yale??? Hatari hii

Please come with solutions, malalamiko haya hayatawasaidia, mmeanza kulalamika tangu 2015 Rais Magufuli alipoingia madarakani, a fundamental question to ask, what a new have you brought therefore with this press conference? Mtalalamika hadi lini? Kipi tunaweza kuhoji leo mkatupa jawabu lililosahihi juu ya hiki mnachoita kudai haki?? Kama mtaendelea na siasa kama hizi miaka mitano sasa hakuna la maana mtaishia magerezani kwani mmeshindwa kuleta majawabu badala yake mnasubiri CCM ikosee ndo muanze kulalamika huku wenzenu wanapiga hatua, badilikeni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toleration ina Limits. Uvumilivu Ukizidi utakula uozo. Action za Makusudi zinatakiwa ili kupambania Demokrasia kwa manufaa ya Taifa
Mbowe anazidi kupungukiwa uwezo wa kufikiri!! Au pia washauri wake ni useless!!
Kutangaza mikutano ya hadhara kwenye kipindi hiki ni uwendawazimu.

Mkipigwa mnalialia majeshi yanawaonea!! Kweli kwa tension ya Corona nyie mnataka muendeshe mikutano!!?? You ain't serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani Erythrocyte kuna watu wanaudhi. Kwa ufupi mwenyekiti wenu hakuna kitu, yaani hata kuunga mkono kutoa tahadhari ya COVID19 kwa watanzania hakuna, anaishia kuhamasisha mikusanyiko???? Poleni sana kwa kuwa na kiongozi asiyekuwa na maono.
Zaidi ya samahani huko kwingine nimepuuza , hivi kiongozi asiye na maono akaunti zake zinafungwa ?
 
4/4/ tunawasubiri kwa hamu! Msije mkasema mmeahirisha kwa sababu ya korona! Mimj najua siku ikifikamtasema KORONA.

HII NYUZI MSIINDOE MPAKA TAR..4APR
 
Umoja wa kundi lolote ni sawa sawa na umoja wa viungo mbalimbali vya mwili au mtambo. Viungo vya mwili havina budi vitii kanuni zinazoviwezesha kufanya kazi yake sawa sawa.

Lakini haviwezi kutiii kanuni hizo kama haviko katika hali ya afya njema. Mara kiungo kimoja kinapokuwa hakina afya safi, huanza kuvunja kanuni za kazi na mwili mzima hupata taabu.

TUJISAHIHISHE
 
Mh. Mbowe muhuni sana, anajua kabisa kuna COVID 19 ila anahamasisha uvunjifu wa amani, yaani hajasikika hata akitoa tahadhari juu ya COVID 19, yaani kweli Mh. Mbowe ni zaidi ya Mr. Zero

Hofu ya nini kwani waziri wa afya na Rais si washasema Hatuna Corona? Corona ikiingia nchini maana yake wahusika wamefanya uzembe, watu hawawekwi karantini wanavuka tu airport kienyeji.
 
Back
Top Bottom