hotuba ya mwenyekiti wenu huwa inaandaliwa na nani? mbona huwa anajiongelea tuuTatizo lenu wasomi ndani ya kikundi chenu mmewaweka pembeni mkatanguliza mihemuko mihemuko. Hotuba ya Mh. Mbowe haikuandaliwa kabisa na wala hakuhusisha wabobezi ili aongee nini zaidi ya hisia zake ndiyo maana kaishia kuropoka ropoka
mbona tunahudhuria misa mkuu au siyo kwenye mikusanyiko?labda watangaze kipindi hicho.Tusubiri na tuoneMbowe bhana anajua kabisa mikusanyiko imezuiwa kwa ajili ya kudhibiti Corona lakini yeye anatangaza mikutano mwezi ujao!
Labda ndio maana Mashinji kaamua kuwatema hawa jamaa.Sasa mkuu kuna vitu vya ukabila ukileta hapa unaalibu,inamaana wasukuma ambao wapo chadema watafikiriaje andiko lako ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe bhana anajua kabisa mikusanyiko imezuiwa kwa ajili ya kudhibiti Corona lakini yeye anatangaza mikutano mwezi ujao!
Tume huru haipigi kura, njooni tushindane kwa hoja.Wangalau sasa Mbowe anazungumza lugha inayoeleweka japo imechelewa. Better late than never. Hapo tutapata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Ile lugha ya kutaka maridhiano ilikuwa ni lugha ya kimama na kweli ilinikwaza sana.
Tume huru haipigi kura, njooni tushindane kwa hoja.
Kura huwa zinatosha hatuna wasiwasiMngekuwa mnaweza hoja msingekuwa mnanajisi box la kura. Tunataka tume huru nya uchaguzi fullstop.
Huwezi kuwaachia wapotoshaji, bana mbavu mpaka mwisho wahuni kabisa. Tz inahitaji sera mbadala za maendeleo na si kuhamasisha uvunjifu wa amaniHawa watu wangeachiwa tu wafanye mambo yao kwa uhuru mbona CCM imefanya mengi yameonekana. Kwahili la kuwaingilia hawa naona tu nikujiaribia sifa yao kwa wananchi.
-"Subira yetu, uvumilivu wetu na upole wetu umedharauliwa vya kutosha. Kama watatumia polisi na magereza kutufunga wote, watufunge. Tuko tayari kwa lolote. Kama wanafikiri mabomu, risasi na jela ni suluhu, basi wakatumie," Mbowe, Mwenyekiti Chadema.
Mbowe ni bonge la muhuni, si unajua alishawahi kutoga masikio??? Wafuasi wake wana upungufu wa akili
Mbona serikali ina busara sana. Wapinzani na wafuasi ndiyo vichwani ni 0%.Natamani serikali ingekuwa na busara