Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

Kifo cha akwilini kimeiingizia serikali m 350 pasipo kuhusisha wahusika wakuu wa vurugu zile waliokingiwa kifua yaani mkuregenzi, polisi waliokuwa zamu na mbunge aliyeuza utu wake.
 
Jemedari wa Siasa vs Kichaa.

Kumbe ndo maana Yule jamaa Alikuwa anasaka Kiki leo ili aandikwe kwenye magazeti kesho alijua jembe leo atazungumza.
Ashafika alipokwenda maana mishe zimevurugika Kwa foleni Leo.Wengine awajafika safarini sababu ya kucheleweshwa
 
“Nimemsikia DPP anatoa kauli za kutisha na kibabe...ofisi aliyoikalia DPP ni ofisi ya Umma...hastahili kusimama na upande wowote...sio kazi yake kuumiza watu na kushangilia kuumiza watu”.Mhe.Mbowe.

DPP yuko bize kupambana Na upinzani kuliko kupunguza mahabusu jela,
 
Kifo cha akwilini kimeiingizia serikali m 350 pasipo kuhusisha wahusika wakuu wa vurugu zile waliokingiwa kifua yaani mkuregenzi, polisi waliokuwa zamu na mbunge aliyeuza utu wake.

Hii serikali inafanya mambo ya aibu kubwa na hovyohovyo

Serikali inatufedhesha na kuiabisha mahakama
 
Mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020.

====
Updates
View attachment 1389820

“Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe.

“Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu wachukue hatua mkononi kuwajua askari wote waliomuua Akwilina" Mhe.Mbowe.

“Mimi nikiwa jela kule nikiwa shambani zimepigwa risasi zaidi ya 13, za moto,wanapambana na Halima Mdee, Ester Bulaya, na Jesca Kishowa, hawa ni wamama, hata katika sheria za magereza wanaoruhusiwa kushughulika na wanawake ni wanawake tu, lakini hapa ni wanaume wenye vifua, wenye silaha, wanamshughulikia Halima wamemuweka mtu kati”. Mhe. Mbowe.

Mimi na viongozi wenzangu waandamizi tulipohudhuria sherehe za Uhuru uwanja wa Kirumba Mwanza nilipopewa nafasi ya kusalimia na nikamtaka rais aone ulazima wa kutengeneza maridhaino kuleta maridhiano… alisema nimesikia”.Mhe.Mbowe.

Sisi tulipoyataka maridhiano ya Kitaifa hayakuwa kielelezo cha uoga, ilikuwa kielelezo cha kuitaka amani katika nchi yetu kwa sababu tunaona tunakokwenda siko…”.Mhe.Mbowe.
''Natangaza rasmi kuwa kuanzia mwezi ujao wa nne tutaanza kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima bila kujali kuna katazo la Rais Magufuli na tuko tayari kwa lolote, tumekuwa waungwana vya kutosha na sasa hatutarudi nyuma kwenye hili'' - Freeman Mbowe

"Nawatangazia viongozi wote wa Chadema nchi nzima kuanzia Majimbo, Kanda, Kata, Vijiji na Mitaa kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima, kwanza ni kudai tume huru na pili ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu"
"Subira yetu, uvumilivu wetu na upole wetu umedharauliwa vya kutosha. Kama watatumia polisi na magereza kutufunga wote, watufunge. Tuko tayari kwa lolote. Kama wanafikiri mabomu, risasi na jela ni suluhu, basi wakatumie," Mbowe, Mwenyekiti Chadema
Yaani hiki kishakua kimeo, sasa jalada la Akwilina linahusiana nini na nyie kufanya mikutano nchi nzima? Si mkakate rufaa au kufungua kesi mahakamani? Yes mtaanza ooh mahakama si za hao hao! Sasa niwakumbushe tu kwamba hata mabuti, bunduki na vitunguu ni vyao pia na hata hizo hospitali wanamkono wao humo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020.

====
Updates
View attachment 1389820

“Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe.

“Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu wachukue hatua mkononi kuwajua askari wote waliomuua Akwilina" Mhe.Mbowe.

“Mimi nikiwa jela kule nikiwa shambani zimepigwa risasi zaidi ya 13, za moto,wanapambana na Halima Mdee, Ester Bulaya, na Jesca Kishowa, hawa ni wamama, hata katika sheria za magereza wanaoruhusiwa kushughulika na wanawake ni wanawake tu, lakini hapa ni wanaume wenye vifua, wenye silaha, wanamshughulikia Halima wamemuweka mtu kati”. Mhe. Mbowe.

Mimi na viongozi wenzangu waandamizi tulipohudhuria sherehe za Uhuru uwanja wa Kirumba Mwanza nilipopewa nafasi ya kusalimia na nikamtaka rais aone ulazima wa kutengeneza maridhaino kuleta maridhiano… alisema nimesikia”.Mhe.Mbowe.

Sisi tulipoyataka maridhiano ya Kitaifa hayakuwa kielelezo cha uoga, ilikuwa kielelezo cha kuitaka amani katika nchi yetu kwa sababu tunaona tunakokwenda siko…”.Mhe.Mbowe.
''Natangaza rasmi kuwa kuanzia mwezi ujao wa nne tutaanza kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima bila kujali kuna katazo la Rais Magufuli na tuko tayari kwa lolote, tumekuwa waungwana vya kutosha na sasa hatutarudi nyuma kwenye hili'' - Freeman Mbowe

"Nawatangazia viongozi wote wa Chadema nchi nzima kuanzia Majimbo, Kanda, Kata, Vijiji na Mitaa kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima, kwanza ni kudai tume huru na pili ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu"
"Subira yetu, uvumilivu wetu na upole wetu umedharauliwa vya kutosha. Kama watatumia polisi na magereza kutufunga wote, watufunge. Tuko tayari kwa lolote. Kama wanafikiri mabomu, risasi na jela ni suluhu, basi wakatumie," Mbowe, Mwenyekiti Chadema
Daaah hii Ni Aina wanasiasa wasiojari wananchi wao yaan baada ya kuwaza corona wanawaza siasa

Yaan waliokuwapo madarakani na hao wanaotaka Ni hopeless kabisa

kilicho akilini kitumie
 
Hii serikali inafanya mambo ya aibu kubwa na hovyohovyo

Serikali inatufedhesha na kuiabisha mahakama
Inafanya utoto utoto mwingi sana huwezi kuta serikali makini iko bize kupambana na vitu vidogo vidogo sijui upinzani ambao hata dola hawana. Serikali inatakiwa idili na vitu vikubwa vikubwa mfano kuondoa ttzo la ajira,njaa na sio kutwa kucha inakimbizana na upinzani. Tuliwachagua wakapambane na maendeleo na sio kupambana na watu.
Kupambana na upinzani ni kuwapa promo zaid
 
-
“Mimi nikiwa jela kule nikiwa shambani zimepigwa risasi zaidi ya 13,za moto,wanapambana na Halima Mdee, Ester Bulaya, na Jesca Kishowa,hawa ni wamama,hata katika sheria za magereza wanaoruhusiwa kushughulika na wanawake ni wanawake tu,lakini hapa ni wanaume wenye vifua,wenye silaha,wanamshughulikia Halima wamemuweka mtu kati”.Mhe.Mbowe.
Scott Edward Adkins " I didn't see your husband in front of me rather a man against my dream"

Huyu ndio yule mwigizaji wa ile Movie yetu ya Boyka.

MHE. MBOWE
Wale Askari Magereza hawakumuona mwanamke mbele yao, Mbunge, Halima, wala Esta bali walimuona mvunjaji wa Sheria aliyekua akipaswa kushughulikiwa na wenye shughuli walikua wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cdm waache kwanza corona ipite pili wakitulize kwanza wananchi wanawaelewa ccm imeshawapigia sana kampeni kwa hii miaka 5 wala hawaitaji nguvu sana.Ccm hawana jipya kiki wategemeao ni sgr,Ndege, bwawa la nyerere ambayo sio hoja tena kwa wananchi Kwa sasa zishachuja
 
This dead on arrival, heri asingesema na hiyo pia ni dalali ya uoga
 
Huyu Mbowe muhuni sana..na hiki ndicho kinachowaponza wapinzani..hopeless kabisa
Ha ha ha ha 🤣🤣🤣🤣🤣 mzee baba ndoumejua leo! Mboe ni hoporesss! Baada ya mda utasikia kasema nasimamisha mikutano sababu ya korona!!

Nitachekaaaaa!
Wajinga alipotangaza wakashangiria wenye nazo tukajua changa la macho! Wajinga ndio waliwao! Hapo anajifungia chumbani kupiga hesabu za matumizi ya garama za matibabu + 10% ha ha ha !
Mwamba tuvushe.
 
Hofu ya nini kwani waziri wa afya na Rais si washasema Hatuna Corona? Corona ikiingia nchini maana yake wahusika wamefanya uzembe, watu hawawekwi karantini wanavuka tu airport kienyeji.
Haya sasa imepitia nyumbani kwake! Mungu nae mkubwa
 
Leo Mh. Mbowe, Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro na Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, ametangaza kuanza mikutano nchi nzima kwa maana ya kanda, mkoa, wilaya, kata, kijiji mpaka mtaa ili kudai Tume Huru na maandarizi ya Uchaguzi Mkuu ujao.

Katika maelezo yake mbele ya waandishi wa habari, Mh. Mbowe anesema alisikia milio ya risasi zaidi ya 15 akiwa shamba, lakini akasema wanaume wenye vifua walimshambulia Mh. Halima Mdee bila aibu. Lakini Mh. Mbowe amesema hawezi kuliacha suala la Akwilina likapita bila wauaji kuchukuliwa hatua.

NAOMBA KUMUOMBA MH MBOWE YAFUATAYO:

1. Asije akatoa tamko la kuzuia mikutano kwa madai ya Corona, maana taarifa nilizozipata nikwamba anajiandaa siku ya Ijumaa kutoa zuio hilo kwakuwa wakati anatoa tangazo hilo alijua pia kuna hofu ya Corona.

2. WanaChadema wawe makini ni mwenyekiti wao Mh. Mbowe!.Kwa siasa alizo nazo kipindi hiki tangia chama kianze kukimbiwa na wanachama, madiwani, na sasa wabunge. Kwakuwa hana hoja sera wala mpango mpya wa kisera kwa ajili yakukijenga chama.

Lakini pia namshauri Mh. Mbowe badala ya kuhamasisha mikutano iliyozuiwa nadhani ni muda muafaka angekuja na majibu ya ofice za chama nchi nzima, matumizi ya fedha za chama, mpasuko wa chama, na upendeleo wa wabunge wa kike wawili ambao umoja wa wabunge wanawake wa upinzani wanahoji bila majibu.

WanaChadema wanataka kujua mipango na mikakati ya maendeleo ya chama yaliyofikiwa mpaka sasa.

Mwisho, wanaChadema wanaomba siku ya taehe 4 wakifanya mikutano na wakakamatwa basi wasiitishe michango maana yeye ndo kaiasisi hivyo alipe kuanzia mawakili pesa zake, maana gharama za mawakili napo limekuwa tundu la kupigia pesa za chama.
 
Back
Top Bottom