Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Kifo cha akwilini kimeiingizia serikali m 350 pasipo kuhusisha wahusika wakuu wa vurugu zile waliokingiwa kifua yaani mkuregenzi, polisi waliokuwa zamu na mbunge aliyeuza utu wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashafika alipokwenda maana mishe zimevurugika Kwa foleni Leo.Wengine awajafika safarini sababu ya kucheleweshwaJemedari wa Siasa vs Kichaa.
Kumbe ndo maana Yule jamaa Alikuwa anasaka Kiki leo ili aandikwe kwenye magazeti kesho alijua jembe leo atazungumza.
Mamlaka pekee ni ya wananchi.
Usitishe watu hapa bwege wewe!
“Nimemsikia DPP anatoa kauli za kutisha na kibabe...ofisi aliyoikalia DPP ni ofisi ya Umma...hastahili kusimama na upande wowote...sio kazi yake kuumiza watu na kushangilia kuumiza watu”.Mhe.Mbowe.
Kifo cha akwilini kimeiingizia serikali m 350 pasipo kuhusisha wahusika wakuu wa vurugu zile waliokingiwa kifua yaani mkuregenzi, polisi waliokuwa zamu na mbunge aliyeuza utu wake.
point ya msingi ni kuwa mabeberu wanajua kila kitu na uhun wote hii serikali inaufanya...soma report ya human right practice in Tanzania waliyoitoa leo
Ligi ya Octoba 2020 ni ligi kubwa kuliko ya 2015Magereza hata uniform zao zimepauka kwa ajili ya kutelekezwa na CCM lakini bado wanajikomba tu!
Kabisa .Ligi ya Octoba 2020 ni ligi kubwa kuliko ya 2015
Yaani hiki kishakua kimeo, sasa jalada la Akwilina linahusiana nini na nyie kufanya mikutano nchi nzima? Si mkakate rufaa au kufungua kesi mahakamani? Yes mtaanza ooh mahakama si za hao hao! Sasa niwakumbushe tu kwamba hata mabuti, bunduki na vitunguu ni vyao pia na hata hizo hospitali wanamkono wao humo piaMkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020.
====
Updates
View attachment 1389820
“Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe.
“Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu wachukue hatua mkononi kuwajua askari wote waliomuua Akwilina" Mhe.Mbowe.
“Mimi nikiwa jela kule nikiwa shambani zimepigwa risasi zaidi ya 13, za moto,wanapambana na Halima Mdee, Ester Bulaya, na Jesca Kishowa, hawa ni wamama, hata katika sheria za magereza wanaoruhusiwa kushughulika na wanawake ni wanawake tu, lakini hapa ni wanaume wenye vifua, wenye silaha, wanamshughulikia Halima wamemuweka mtu kati”. Mhe. Mbowe.
Mimi na viongozi wenzangu waandamizi tulipohudhuria sherehe za Uhuru uwanja wa Kirumba Mwanza nilipopewa nafasi ya kusalimia na nikamtaka rais aone ulazima wa kutengeneza maridhaino kuleta maridhiano… alisema nimesikia”.Mhe.Mbowe.
Sisi tulipoyataka maridhiano ya Kitaifa hayakuwa kielelezo cha uoga, ilikuwa kielelezo cha kuitaka amani katika nchi yetu kwa sababu tunaona tunakokwenda siko…”.Mhe.Mbowe.
''Natangaza rasmi kuwa kuanzia mwezi ujao wa nne tutaanza kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima bila kujali kuna katazo la Rais Magufuli na tuko tayari kwa lolote, tumekuwa waungwana vya kutosha na sasa hatutarudi nyuma kwenye hili'' - Freeman Mbowe
"Nawatangazia viongozi wote wa Chadema nchi nzima kuanzia Majimbo, Kanda, Kata, Vijiji na Mitaa kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima, kwanza ni kudai tume huru na pili ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu"
"Subira yetu, uvumilivu wetu na upole wetu umedharauliwa vya kutosha. Kama watatumia polisi na magereza kutufunga wote, watufunge. Tuko tayari kwa lolote. Kama wanafikiri mabomu, risasi na jela ni suluhu, basi wakatumie," Mbowe, Mwenyekiti Chadema
Daaah hii Ni Aina wanasiasa wasiojari wananchi wao yaan baada ya kuwaza corona wanawaza siasaMkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020.

Inafanya utoto utoto mwingi sana huwezi kuta serikali makini iko bize kupambana na vitu vidogo vidogo sijui upinzani ambao hata dola hawana. Serikali inatakiwa idili na vitu vikubwa vikubwa mfano kuondoa ttzo la ajira,njaa na sio kutwa kucha inakimbizana na upinzani. Tuliwachagua wakapambane na maendeleo na sio kupambana na watu.Hii serikali inafanya mambo ya aibu kubwa na hovyohovyo
Serikali inatufedhesha na kuiabisha mahakama
Scott Edward Adkins " I didn't see your husband in front of me rather a man against my dream"-
“Mimi nikiwa jela kule nikiwa shambani zimepigwa risasi zaidi ya 13,za moto,wanapambana na Halima Mdee, Ester Bulaya, na Jesca Kishowa,hawa ni wamama,hata katika sheria za magereza wanaoruhusiwa kushughulika na wanawake ni wanawake tu,lakini hapa ni wanaume wenye vifua,wenye silaha,wanamshughulikia Halima wamemuweka mtu kati”.Mhe.Mbowe.
Ha ha ha ha 🤣🤣🤣🤣🤣 mzee baba ndoumejua leo! Mboe ni hoporesss! Baada ya mda utasikia kasema nasimamisha mikutano sababu ya korona!!Huyu Mbowe muhuni sana..na hiki ndicho kinachowaponza wapinzani..hopeless kabisa
Haya sasa imepitia nyumbani kwake! Mungu nae mkubwaHofu ya nini kwani waziri wa afya na Rais si washasema Hatuna Corona? Corona ikiingia nchini maana yake wahusika wamefanya uzembe, watu hawawekwi karantini wanavuka tu airport kienyeji.