Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe anatupa quotes za marahemu kina Churchill. Mbowe hivi ile office yao Mikocheni walinunua kwa nani?Mbowe bwana go straight to the point. Unagombea.
Mbowe anatuambia amefanya risechi, risechi yenyewe ni kuingia gugo na kuandika "reconciliation quotes" halafu anashindwa kuzitafsiri kwa usahihi kwa kiswahili😌
 
Mbowe Acha ulaghai, Sema wazi kuwa haupo tiyari kuachia Chama kwa mtu mwingine tujue moja, Sisi Siyo watoto wadogo kwani Hilo limeonekana muda mrefu sana wala hapakuwa na sababu ya kusubiria saa 48 wala kuita press conference, Umekubali CHADEMA ifie mikononi mwako mwenyewe.
 
Halafu unajiona mjanja kwa kuandika pumba za mpunga hapa. Taabu kwelikweli.
 
Speech ya hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…