Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maburungutu ya mama mkuu.

Kakaa jela juzi miezi 8 katoka na zaidi ya 10B

Maridhiano kwake ni yeye kupiga maburungutu basi.

Sasa mama hataki asumbuliwe hii ngwe yake ya pili, anataka FAM amsadie huku huku kwenye upinzani ili yeye abaki kula raha.
 
Wajumbe mkimchagua Mbowe mtu aliyeungana na watesi wetu CCM mjue damu za watu hawa zitawalilia siku zote za maisha yenu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1737358302587.jpg
    FB_IMG_1737358302587.jpg
    43.6 KB · Views: 1
  • IMG_5035.jpeg
    IMG_5035.jpeg
    84.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom