Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kati yenu aliwahi kupinga Chadema kubadili Katiba na kuondoa ukomo wa madaraka ya Mwenyekiti? Kipindi kile sie tunapinga si mlikuwa mnamtetea Mbowe nyie? Badala ya kupinga chanzo, eti leo mnalalamikia matokeo? Ndio maana Mimi namwita Lissu mwehu kwasababu alikuwepo na alisimamia uondoaji ukomo wa madaraka ya Mwenyekiti. Leo analoloma nini?Nakataa. Hapana hii sio kweli, mtu huwezi kukaa madarakani siku zote hii ndio inaleta udikteta.
Leadership is a trust and not a privilege. Period.
Umesimiliza Kauli yake kwanza...? Ama unaleta mahaba ya uchawa? Kiukweli kwa kusikiliza Kauli yake, kwanzia Sasa siyo tena mwenyekiti wangu tena. Sijui kwa wengine.
Najaribu kujiuliza ujasili wa kukemea ukomo wa madaraka utatoka wapi kupitia yeye.
Kichwa cha mada, na maelezo yaliyo fuatia haviendani!Hivi ni kweli yule uliye kuwa unasema na kuimba demokrasia, demokrasia....!!! Leo hii wa kung'ang'ania madaraka hadi yanakutia upofu!! Ninani anayekushauri vibaya namna hiyo....
Ninakili tunamshukuru sana TAL kutuonyesha upande wenu wa 2,kumbe CDM chini ya utawala wako hakuna upinzani zaidi ya kuwa msaada kwa CCM!!!
Kuna aliye mkataza Mbowe kugombea?Sina sababu ya kusikiliza na nimejibu kulingana na ulichoandika. Na kuhusu mambo ya uchawa yanakuhusu wewe kwasababu inaonekana unataka Lissu awe mwenyekiti bila kupata upinzani.
Nyie vibaraka wa Lissu kwa nini hamtaki Mbowe agombee uenyekiti ?
Suala siyo kugombea, issue hapa ni Mbowe kung'ang'ania madaraka. Umeelewa?Hakuna aliyezuiwa kugombea, hata wewe unaruhusiwa .
Kuna aliye mkataza Mbowe kugombea?
Mbowe:Je, utawambia nini wananchi wako
Suala siyo kugombea, issue hapa ni Mbowe kung'ang'ania madaraka. Umeelewa?
Ninachokiona kudhidi kujichafua, yupo tayari kwa lolote hata kama kuifunja CDM
Unaelewa maana ya demokrasia?Hivi ni kweli yule uliye kuwa unasema na kuimba demokrasia, demokrasia....!!! Leo hii wa kung'ang'ania madaraka hadi yanakutia upofu!! Ninani anayekushauri vibaya namna hiyo....
Shekeli ya abduHivi ni kweli yule uliye kuwa unasema na kuimba demokrasia, demokrasia....!!! Leo hii wa kung'ang'ania madaraka hadi yanakutia upofu!! Ninani anayekushauri vibaya namna hiyo....
Ninakili tunamshukuru sana TAL kutuonyesha upande wenu wa 2,kumbe CDM chini ya utawala wako hakuna upinzani zaidi ya kuwa msaada kwa CCM!!!
Binafsi nateswa na Kauli yake hapo juu.Kama anaruhusiwa kikatiba kwa nini unasema anang'ang'ania madaraka? Kama wanachama / wapiga kura wa mkutano mkuu hawamtaki Mbowe watamkataa kwenye kura.
Ananifanya nipatwe na wasiwasi juu ya kifo Chacha wangweShekeli ya abdu
Shallow understanding indeedShallow reasoning indeed
Sitaki kuamini kama anadhamiri ya dhati ya kufanya uchaguzi uhuru na haki kutokana na Kauli za watu wake. Pia binafsi sikutaka kwa yeye kuingia kwenye ushindani na TAL kutokana na unyeti wa Siasa zetu. Sababu kuu ni Moja kupunguza ahiba kwa mtia nia wa urais pia kupoteza baadhi ya wapiga kura kutokana na matokeo yeyote kati yake na Tundu Lissu.Mbona hakuna mabaya alilosema Mbowe,kama ni suala la ujasiri wa kusema kesho yake atasema kuwa nimeshindwa kwa njia ya kura au nimeshinda kwa njia ya kura kwa sababu maneno yake yanaonekana kabisa ni mtu wa kupokea lolote litakalotokea.
Tatizo linaloonekana watu wanataka Mbowe atangaze kung'atuka kama Nyerere alivyofanya kipindi chake,wakati Nyerere alifanya hivyo kutokana na mfumo uliokuwepo kwa wakati ule ndani ya CCM na serekali kulikuwa hakuna uchaguzi kulikuwa na ndiyo au hapana.
Mbowe yeye kaamua kuwaachia wanachama ndio waamue sijui kosa lake ni lipa hapa?.
Mbowe angeng'ang'ania madaraka endapo kusingekuwa na uchaguzi. Sasa kuna uchaguzi na yeye anagombea na wengine waliotia nia akiwamo Odero, hapo anang'ang'aniaje?Suala siyo kugombea, issue hapa ni Mbowe kung'ang'ania madaraka. Umeelewa?
Hupendi Demokrasia. Na unathibitisha mnataka Lissu apite bila ushindani.Sitaki kuamini kama anadhamiri ya dhati ya kufanya uchaguzi uhuru na haki kutokana na Kauli za watu wake. Pia binafsi sikutaka kwa yeye kuingia kwenye ushindani na TAL kutokana na unyeti wa Siasa zetu. Sababu kuu ni Moja kupunguza ahiba kwa mtia nia wa urais pia kupoteza baadhi ya wapiga kura kutokana na matokeo yeyote kati yake na Tundu Lissu.