GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 456
- 1,352
Baada ya kujua majina ya washiriki (Actors na Actresses) sikutaka kujua hata Title ya Series yenyewe, nilijua lazima itakuwa ni kali tu, na kweli 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mmoja yuko bize kutetea ugali wake hapa , hakuna namna 😂We ni mzee wa hear say
Mwenyekiti atakua TAL km asipokua basi watagawana mbao na kitakua kimekufa rasmiBased on a True Story.😀
Ugali na nini na nyama choma au na dagaa ?Kila mmoja yuko bize kutetea ugali wake, hakuna namna 😂
Mwenyekiti atakua TAL km asipokua basi watagawana mbao na kitakua kimekufa rasmi
Hatari sana, ila mods wana mambo ya ajabu sana wameua uzi wangu aisee cheki comment yako ilivyo tamu kwa sasa aiendani kbs na Title ya huu uzi. Mods rudisheni uzi wangu please.Hii movie Kuna wanasema 99.1% ndiyo directors, lakini naona, Kuna sponsor wa 99.1% ndiye kastuka actor mmoja wapo alikuwa anapendelewa na wanaodhaniwa directors kuwalaghi sponsors. Sasa sponsor ndiye anataka awe director na sponsor kisha kubadili co-actor awe ndiye "sterling"!!!
Chaguo ni lako Mkuu ila kwa Mwenyekiti kuna ndafu, labda kama wewe ni veganUgali na nini na nyama choma au na dagaa ?
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne nyuma ya Tundu Lissu na Odero Odero,
Je, kama Taifa tunatarajia nini kutoka Upinzani kuelekea 2025?
Usiondoke hapa Jf kwa habari zaidi
=======================================
Siku ya leo Disemba 21, 2024 Freeman Mbowe ametangaza rasmi kugombea kwa mara nyingine nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Mbowe amsema kuwa kutokana na Uchaguzi mkuu ambao unakuja si vyema kubadilisha "makamanda" na kwamba bado yupo sana kuongoza chama hicho na mara baada ya mkutano anaenda kuchaukua fomu kwenye makao makuu ya chama hicho, Mikocheni.
"Kwa kuzingatia yote haya na mengine mengi ambayo sitaki kuwachosha. Nilisema mara nyingi kuwa nilitamani kuondoka lakini siwezi kuondoka katikati ya minyukano iliyopo. Kwa hiyo CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea"
View attachment 3181677
View: https://www.youtube.com/live/8WGa7Xv3hKo?si=JjooipgRmN035_2F

Nakataa. Hapana hii sio kweli, mtu huwezi kukaa madarakani siku zote hii ndio inaleta udikteta.Je, utawambia nini wananchi wako
Shallow reasoning indeedHivi ni kweli yule uliye kuwa unasema na kuimba demokrasia, demokrasia....!!! Leo hii wa kung'ang'ania madaraka hadi yanakutia upofu!! Ninani anayekushauri vibaya namna hiyo....
Ninakili tunamshukuru sana TAL kutuonyesha upande wenu wa 2,kumbe CDM chini ya utawala wako hakuna upinzani zaidi ya kuwa msaada kwa CCM!!!
Umesikiliza Kauli yake kwanza...? Ama unaleta mahaba ya uchawa? Kiukweli kwa kusikiliza Kauli yake, kwanzia Sasa siyo tena mwenyekiti wangu tena. Sijui kwa wengine.Hakuna aliyezuiwa kugombea, hata wewe unaruhusiwa .