Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nenda nenda pumbavu kabsaa
 
Kama ni hivi CCM wataendelea kutuchezea sana, anakuja mmoja kama Kikwete anatulegezea Demokrasia tunajiona tumefanya progress, halafu wanatuletea mwingine kama Magufuli anatuvuruga halafu in between kanakuja kamama kanasema tufanye maridhiano this game will go on forever..

Kwa siasa hizi anazosema Mbowe CCM itakaa madarakani forever labda itokee miujiza au kwa pressure ya mtutu au civil disobedience.
 
Mkuu nenda mapema kabisa ikiwezekana nilipie gharama za bolt hadi ofisi za Lumumba. Huku upinzani hakuna future tena kama ndio tuna viongozi walafi hivi.
 
Chadema ni Saccos ya familia ya mbowe na baba mkwe wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…