Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
We tulia Rushwa lazima kupigwa vita kwa gharama yoyote , anaeona lissu kukemea rushwa adharani ndani ya chama amefanya makosa ,atakua mpumbavu kiwango cha rami, chadema lazima kiwe kisafi ili kiwe na uwezo wa kuikemea ccm .

Wajumbe kwa sasa Tuleteeni lissu
 
Wote wagombee, uchaguzi ufanyike kwa uwazi na whoever wins washindwa wakubali matokea. It's all about democracy.
Machawa wa pande zote waache kulialia.
 
Tofautisha Mropokaji na mkemeaji, Nyerere alikemea rushwa hadharani, hakuwa mropokaji.
 
Wakati Chacha Wangwe anataka kugombea uenyekiti.Lissu hakuwa Chadema? ILIKUWA MWAKA 2008.Ninakumbuka Lissu alimlalamikia sana Chacha Wangwe hadi kusema kamsaidia case nyingi mno.I wish niupate ule uzi niuperuzi.Lissu alikuwa upande wa Mbowe .
 
Mkuu amini nakwambia utashangaa, tunataka sasa sisi wanachama ambao hatupigi kura tuone na tujiridhishe kama patafanyika upumbavu kama huo na sisi tuna akili tutaamua cha kufanya, tusihukum kwanza ngoja tuvuke mto ,tunataka mshindi halali ,

Wajumbe pesa mkipewa tafuna ila tuleteeni hitaji letu kwa sasa
Umesahau alivyosema Lissu kuwa kwenye chaguzi za Chadema kuna pesa nyingi ambayo haifahamiki inatoka wapi.....wajumbe wa kamati Kuu kwa Hali ya uchumi ilivyo mtaani hao watanunuliwa wote na Abdul!
 
Njoo ccm sasa

Mimi sinaga chama labda kwa badae maana naona miyeyusho tu.
Si Simba si yanga.
Mimi naamini katika kimsingi ya haki, kweli, uadilifu, uwajibikaji, utu, usawa, competencies, uhuru wa fikra na mawazo katika kuchangia mada za maendeleo, challenges ( kukosoana kwa nią ya kujenga) na yenye kufanana na hayo .
Mtu mwenye kuwa na kuyafanya hayo sijali atakuwa wa chama gani nitamkubali tu sababu Katiba inaruhusu vyama vingi .
 
Namuunga mkono Mbowe atetee nafasi ya uenyekiti Chadema, nimegeuza akili yangu baada ya kumsikiliza kwa makini Wenje juu ya Lissu kuhusu kuhongwa fedha, kumbe ilikuwa uongo mtupu.
 
Yaani mtu anagombea kwa kura, nyie mnachanganyikiwa

Mnatakaje sasa ndugu wanachama😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…