4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
We tulia
Wajumbe kwa sasa Tuleteeni lissu
Rushwa lazima kupigwa vita kwa gharama yoyote , anaeona lissu kukemea rushwa adharani ndani ya chama amefanya makosa ,atakua mpumbavu kiwango cha rami, chadema lazima kiwe kisafi ili kiwe na uwezo wa kuikemea ccm .Yani leo unawatuhumu wajumbe wanapewa rushwa na Abdul, kesho wajumbe haohao uwaombe kukupigia kura? Mwambieni Lisu cha kwa ajifunze kutokuwa mropokaji, na kuna vitu vya kweli pia hutakiwi kuongea public, hii ni kanuni ya maisha inamuhusu binadamu yeyote.
Ccm Lisu wanamchukulia kama chizi tu na hawapo tayari kufanyakazi na chizi, kamanadhani ccm haihusiki na uchaguzi wa Chadema mnajidanganya wenyewe, huyo Mbowe utakuta hata usalama wa Taifa ndio wameindorse agombee, wengi hamjui hii nchi inaendeshwaje.
Wajumbe kwa sasa Tuleteeni lissu