econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mbowe àkiacha uenyekiti hawa machawa wake watapoteana.
Bora wapoteane chama kibaki imara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe àkiacha uenyekiti hawa machawa wake watapoteana.
And let it beNaamini ataachia kiti kwa afyaya wanachadema
Mbowe asali aliyoramba sasa anaiyona chungu kama kahawa
Kwani katiba ya chama chenu inasemaje? Kuhusu kuchelewa!!
Tuanzie hapo Kwanza.
Kazi ni kipimo cha UTU
Binafsi namwomba mh. Mbowe aje na tamko la kutogombea ili tuuone upinzani wenye radha miaka mijayo kupitia chama hiki hiki kilichojengwa kwa jasho na damu ya watanzania wapenda mabadiriko ya kweli na sio hizi mbio wanazofanya CCM.
Ni muda muafaka wa kuexperience kwenye uongozi watu wenye mawazo mapya, nguvu mpya, morale kubwa na ushindani wa kweli na sio experience ya kulialia na kutegemea huruma ya mtawala wakati yeye haukunei huruma
Ngoja tuone mkuuOk Mkuu. Sasa apangilie haraka tunamsubilia hapa.
CCM wanawashwa Sana sanaMbowe aliahidi mkutano saa Tano ila mpaka Sasa hivi ni bila bila.
Sijui kaona nini? Chawa bana.Ameamua kujitetea mapema