4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sio kweli we subili mtashangaaWajumbe wengi wa huko ni Undercovers, unatarajia wataweza kumpiga chini mtu wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli we subili mtashangaaWajumbe wengi wa huko ni Undercovers, unatarajia wataweza kumpiga chini mtu wao?
kwamba uliamini mbowe ataachia ngazi? bora umwamini mbwa sio mchaga, nina mifano haiNimevunjika moyo sana
Niliachana na CHADEMA rasmi mwaka 2009 kwa kushuhudia kwa macho yangu upumbavu ambao kwa kila mwenye akili ya kawaida tu asingethubutu kuwaamini hata kwa sekunde moja.Anzishen chama chenu kama zito
Kilicho baki kunywa sumu ufe tuu bossKuanzia leo nasitisha uanachama wangu Chadema hadi siku Lissu akitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema. Naijutia michango yangu ya hali na mali niliyotoa kwa chama hiki.
Nenda kazike sasaChadema is dead!
Gia namba moja angekuja nayoAssume Lissu angekuwa hayupo duniani je angekuja na gia gani?
mlichokitaka mmekipata, endeleeni kudanganya wananchi kwa demokrasia feki, ipo siku mtajuta kudanganyaNa bado hadi wazimie
Anzishen chama chenu kama zito
Sasa kama ndiyo tafsiri yake kwanini chama kilikuwa so worried kuwa magufuli anataka kuondoa ukomo wa vipindi viwili agombee?Tafsiri ya mbowe ukomo wa madaraka imenichekesha lakini nimegundua kuwa Tanzania CCM iendelee tu kukaa pale juu.
Nasema ikae mpaka mjambeTafsiri ya mbowe ukomo wa madaraka imenichekesha lakini nimegundua kuwa Tanzania CCM iendelee tu kukaa pale juu.
Kuanzia Leo nimeshajua chadema hawana uwezo hata WA kuongoza nchi, NI watu wa kuwaepuka Sana, walafi wakiingia madarakani hawatoki
Mbivu lazima ziliwe maana ni tamuWAJUMBE SASA NI WAKATI WENU KUKIVUSHA CHAMA , KILA UPANDE KIPENGA KIMELIA , TUNAWASUBILI SASA KUAMUA MBIVU NA MBICHI
Waambie hao wapumbavuNawe nenda Kawe mlafi
Tokea nipo darasa la 7 mpaka leo nina familia bado ni Mwenyekiti tu? Kwamba hakuna wengine wenye uwezo huo?kwamba uliamini mbowe ataachia ngazi? bora umwamini mbwa sio mchaga, nina mifano hai
Waambie waambie haoAcheni mtu Agombee,kura zikaamue
Kwa nini mnaogopa kura
100%Wengi huiunga mkono CHADEMA kwa akili za kushikiwa. Sio siku nyingi mtajua kuwa mlipoteza muda kuwaamini wasioaminika.