kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Kapigeni kuraIncumbency inaharibu uchaguzi, maana hata kamati za uchaguzi anaandaa yeye sasa kuna namna gani hapo Lissu kushinda?
Mnashinda humu hampigi kura mnakuja kulalamika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapigeni kuraIncumbency inaharibu uchaguzi, maana hata kamati za uchaguzi anaandaa yeye sasa kuna namna gani hapo Lissu kushinda?
Nakuona mfuasi wa chama tawala unatoa somo mujarabu la demokrasia kwa wapinzani. Hatari sana mambo haya.Kama Katiba Ya CHADEMA inampa Haki Ya Kugombea, Kuzodoa maamuzi yake ni kwenda kinyume na demokrasia
Kwa Mujibu Wa Katiba Ya CHADEMA Mbowe ana haki ya Kugombea sawa na wanachama wengine wanaotaka kugombea.
Humtaki Mbowe Usimpigie Kura.
Kidumu Cha Cha Mapinduzi,
Kidumu Chama Tawala.
Na badoo mpaka kielewekeYajayo kuhusu ccm yanatekenyesha.
Yajayo kuhusu chadema yanasikitisha.
Waambie waambie hao wapumbavuKapigeni kura
Mnashinda humu hampigi kura mnakuja kulalamika
Kwa hili Mbowe amejidhalilisha sn snAsigombee ili alinde heshima yake, vinginevyo ataangukia kwenye mkondo wa Cheyo na Mrema
Nilikuwa mwana Chadema kindakindaki na huna la kunifundisha kuhusu hiki chama.Wewe siyo chadema na hujui umuhimu wa Mhe. Freeman kwenye kuboresha siasa za upinzani
Wapo ila tamaa hazimwachi afanye hvo na ndo walivo hao watu, hata mtei aliachia kwa sababu alimuweka mtu wake ambaye anajua atamwendesha, vinginevo mtei mpaka leo angekuwa mwenyekt wa chadema, na mbowe hataoacha kugombea labda afe au amrithishe mtoto wake.Tokea nipo darasa la 7 mpaka leo nina familia bado ni Mwenyekiti tu? Kwamba hakuna wengine wenye uwezo huo?
Jaman anzishen chama chenu kama zito shida ipo wapSasa wakulungwa kuna haja gani ya Lissu kusubiri uchaguzi ufanyike wakati uhakika wa kushinda ni mdogo, au asubiri matokeo ndio chama kipasukepasuke mbowe aanze upya kukisuka? ila itachukua miaka mingi chama hicho kuja kuwa na nguvu tena kama kitakuwepo mpaka wakati huo
Tungepiga wanachama its obvious Mbowe angeangushwa asubuhi tu. Tatizo huko mkutano mkuu watahongwa weeeKapigeni kura
Mnashinda humu hampigi kura mnakuja kulalamika
Kwenda zako hukoooNilikuwa mwana Chadema kindakindaki na huna la kunifundisha kuhusu hiki chama.
Kapigeni kura nyie na mlinde kura,sio mnalia lia kama watotoSasa wakulungwa kuna haja gani ya Lissu kusubiri uchaguzi ufanyike wakati uhakika wa kushinda ni mdogo, au asubiri matokeo ndio chama kipasukepasuke mbowe aanze upya kukisuka? ila itachukua miaka mingi chama hicho kuja kuwa na nguvu tena kama kitakuwepo mpaka wakati huo
Na wewe kahonge shida ipo wapTungepiga wanachama its obvious Mbowe angeangushwa asubuhi tu. Tatizo huko mkutano mkuu watahongwa weee
kwa sababu ya pesa ya abduli na mama akeKwanini unasema ni lazima?
Waambie waambie hao vilazaKapigeni kura nyie na mlinde kura,sio mnalia lia kama watoto
Tatizo mmeshaingia na wazo kua flani lazima ashinde,hapo ndipo mnaingia choo cha kike😝😝Tungepiga wanachama its obvious Mbowe angeangushwa asubuhi tu. Tatizo huko mkutano mkuu watahongwa weee
Na wewe mwambie akupe hizo pesakwa sababu ya pesa ya abduli na mama ake