Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama Katiba Ya CHADEMA inampa Haki Ya Kugombea, Kuzodoa maamuzi yake ni kwenda kinyume na demokrasia

Kwa Mujibu Wa Katiba Ya CHADEMA Mbowe ana haki ya Kugombea sawa na wanachama wengine wanaotaka kugombea.

Humtaki Mbowe Usimpigie Kura.

Kidumu Cha Cha Mapinduzi,

Kidumu Chama Tawala.
Nakuona mfuasi wa chama tawala unatoa somo mujarabu la demokrasia kwa wapinzani. Hatari sana mambo haya.
 
Sasa wakulungwa kuna haja gani ya Lissu kusubiri uchaguzi ufanyike wakati uhakika wa kushinda ni mdogo, au asubiri matokeo ndio chama kipasukepasuke mbowe aanze upya kukisuka? ila itachukua miaka mingi chama hicho kuja kuwa na nguvu tena kama kitakuwepo mpaka wakati huo
 
Tokea nipo darasa la 7 mpaka leo nina familia bado ni Mwenyekiti tu? Kwamba hakuna wengine wenye uwezo huo?
Wapo ila tamaa hazimwachi afanye hvo na ndo walivo hao watu, hata mtei aliachia kwa sababu alimuweka mtu wake ambaye anajua atamwendesha, vinginevo mtei mpaka leo angekuwa mwenyekt wa chadema, na mbowe hataoacha kugombea labda afe au amrithishe mtoto wake.
 
Sasa wakulungwa kuna haja gani ya Lissu kusubiri uchaguzi ufanyike wakati uhakika wa kushinda ni mdogo, au asubiri matokeo ndio chama kipasukepasuke mbowe aanze upya kukisuka? ila itachukua miaka mingi chama hicho kuja kuwa na nguvu tena kama kitakuwepo mpaka wakati huo
Jaman anzishen chama chenu kama zito shida ipo wap
 
Sasa wakulungwa kuna haja gani ya Lissu kusubiri uchaguzi ufanyike wakati uhakika wa kushinda ni mdogo, au asubiri matokeo ndio chama kipasukepasuke mbowe aanze upya kukisuka? ila itachukua miaka mingi chama hicho kuja kuwa na nguvu tena kama kitakuwepo mpaka wakati huo
Kapigeni kura nyie na mlinde kura,sio mnalia lia kama watoto
 
Back
Top Bottom