Pre GE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa wakulungwa kuna haja gani ya Lissu kusubiri uchaguzi ufanyike wakati uhakika wa kushinda ni mdogo, au asubiri matokeo ndio chama kipasukepasuke mbowe aanze upya kukisuka? ila itachukua miaka mingi chama hicho kuja kuwa na nguvu tena kama kitakuwepo mpaka wakati huo
CHADEMA haitakufa

Tutawapa Wanachama na Viongozi wengine wapya wasio vibaraka wa mabeberu.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Kidumu Chama Tawala
 
Wanaoimiliki CDM wanamuamini Mbowe zaidi na si vinginevyo.

Elites walio behind the scene ambao ndio wamiliki wa CDM Kwa bahati mbaya malengo yao sio kama mnavyoiona CDM msioijua.

Nilishatoa angalizo, Lissu kama Yuko serious kweli akaanzishe chama ahame na wafuasi wake wakafanye siasa huko.
CDM Ina malengo mengine kabisa nje ya hizi siasa za kuchukua dola.
Hata Leo hii Lissu akiwa mwenyekiti, bado malengo ya CDM yapo palepale, either atakuwa compromised au atafiksiwa kivingine.
Bahati mbaya sana Tanzania ni nchi ya sintofahamu na behind the scenes nyingi sana, wananchi Kwa zaidi ya 70% wapo manipulated.

Siku wengi wenu mkipata akili ndio mtanielewa.
 
Kuanzia leo nasitisha uanachama wangu Chadema hadi siku Lissu akitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Chadema. Naijutia michango yangu ya hali na mali niliyotoa kwa chama hiki.
Hii si ndio Golden chance ya kumuondowa Mbowe kupitia danduku la kura? Au mimi ndio sielewi?
Kama Mbowe yuko powerful hivi maana yake huyo ndio mtu sahihi, wakutane kwenye box namba zitaongea, hiyo ndio Demokrasia sasa, ccm mwenyekiti inatoka fomu moja tu na mapovu hayawatoki, sasa Chadema mmepewa fursa mumchaguwe mnayetaka mnaweweseka, binafsi siwaelewi.
 
Uje ulifukie sasa
Silifukii mkuu, wajumbe ndo wanategemewa mpaka sasa .

1.lazima kuonesha chadema ni ya kila mwanachama na kila mwanachama yupo na gharama kubwa ndani ya chadema , hakuna cha blabla hapa

2. Lazima kuwaeshimisha wanachama na watanzania kwa kumchagua mtu sahii na bila upendeleo ,au shinikizo la mtu yoyote kwa kauli ,hongo n.k

3. Lazima wajumbe wauthibitishie ulimwengu kwamba chadema kwa sasa ni taasis ya umma
Thanks wajumbe
 
Wanaoimiliki CDM wanamuamini Mbowe zaidi na si vinginevyo.

Elites walio behind the scene ambao ndio wamiliki wa CDM Kwa bahati mbaya malengo yao sio kama mnavyoiona CDM msioijua.

Nilishatoa angalizo, Lissu kama Yuko serious kweli akaanzishe chama ahame na wafuasi wake wakafanye siasa huko.
CDM Ina malengo mengine kabisa nje ya hizi siasa za kuchukua dola.
Hata Leo hii Lissu akiwa mwenyekiti, bado malengo ya CDM yapo palepale, either atakuwa compromised au atafiksiwa kivingine.
Bahati mbaya sana Tanzania ni nchi ya sintofahamu na behind the scenes nyingi sana, wananchi Kwa zaidi ya 70% wapo manipulated.

Siku wengi wenu mkipata akili ndio mtanielewa.
Akaanzishe nini? Kapigeni kura nyie,mmepewa uhuru mkapige kura hamtaki

Mnamjaza mtu aanzishe chama?mnadhani rahisi kiivyo

Msimpe mtu umuhimu ambao hana

Acheni kulia lia,ingieni mzigoni mpige kura,mlinde kura
 
UKISIKIA MTU KWAMBA ANAACHA UANACHAMA KISA MBOWE KATANGAZA KUGOMBEA JUA HUYU NI TAPELI KAMA TAPELI WENGINE ,MBOWE KATIMIZA WAJIBU WAKE ,ANAFIKILI BADO ANAFAA. HII SIO SHIDA.

NI MDA WA WAJUMBE KUAMUA MBIVU NA MBICHI KATIKA UCHAGUZI ULIO HURU ,TUME HURU ,HAKUNA CHA DANADANA , KAMPENI ZA KUNADI KILA MGOMBEA AMPENDAE KASI IONGEZEKE SASA BADALA YA KUKIMBIA VITA
Kwani Mbowe ni baba au mama yako umng'ang'anie? Watu wanaacha dini za wazazi wao sembuse chama? Ukweli Mbowe kama mwenyekiti amejitoa kwa muda wake, jasho, damu na hata rasilimali zake. Lakini hiyo haimpi uhalali wa kumiliki chama kuwa chake. Kwa kuinvest kwake ni ngumu sana kuja kuachia madaraka na hiyo ndio usaliti wa Mbowe tumepigwa 90% serikali za mitaa tutapigwa uchaguzi mkuu 2025 trust me Kama Mbowe ni mwenyekiti
 
Hii si ndio Golden chance ya kumuondowa Mbowe kupitia danduku la kura? Au mimi ndio sielewi?
Kama Mbowe yuko powerful hivi maana yake huyo ndio mtu sahihi, wakutane kwenye box namba zitaongea, hiyo ndio Demokrasia sasa, ccm mwenyekiti inatoka fomu moja tu na mapovu hayawatoki, sasa Chadema mmepewa fursa mumchaguwe mnayetaka mnaweweseka, binafsi siwaelewi.
Wanachama uchwara hao hawajielewi,achana nao
 
Kwani Mbowe ni baba au mama yako umng'ang'anie? Watu wanaacha dini za wazazi wao sembuse chama? Ukweli Mbowe kama mwenyekiti amejitoa kwa muda wake, jasho, damu na hata rasilimali zake. Lakini hiyo haimpi uhalali wa kumiliki chama kuwa chake. Kwa kuinvest kwake ni ngumu sana kuja kuachia madaraka na hiyo ndio usaliti wa Mbowe tumepigwa 90% serikali za mitaa tutapigwa uchaguzi mkuu 2025 trust me Kama Mbowe ni mwenyekiti
Kapige kura sasa
 
Back
Top Bottom